Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Jamani Iran wako wapi? Mbona muda wa kuifuta kabisa Israel kwenye ramani ya dunia ndio imewadia? Mbona sasa wako kimya au wamebadili msimamo na kwamba sasa wanaamini kuwa Israel ni taifa teule....??

Kwa nini Iran sasa wanataka kuwasaliti kipenzi chao Hamas kikundi cha kigaidi walichokiunda wao wenyewe ili kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia..??

Kama Iran wataendelea kukaa pembeni na kubaki kupiga chabo mithili ya kibaka basi huu ndio utakuwa mwisho wa sera yao ya kuanzisha na kufadhili vikundi vya kigaidi duniani.
 
Ulitaka akubali kitu ambacho ajakifanya.Hamas wametumia madhaifu ya jeshi la Israel kufanya uvamizi.

Kila mtu watamuona mbaya mwaka huu.kila mtu wanamshika uchawi kuhusu kuwasaidia Hamas.hii aibu ni ngumu kufutika bali itadumu kizazi na kizazi
Aibu Tena sio kama hamas ndio wanaona aibu kuwaingiza mamilion ya watu wapalestina matatizon sasa wao na raia wote hawana pakuish
 
Kwa hiyo ulitaka akili kitu ambacho hajafanya? hata Marekani alisema ya kuwa hakuna ushahidi wowote unao ihusisha Iran na ambush hiyo na wala ilikuwa haijui chochote kuhusu ambush hiyo hata wao iliwashutua.

Shambulizi hilo limesababishwa na udhaifu wa vitengo vya usalama na integensia ya Israel msilete visingizio.

Hata kama angekuwa amehusika wange mfanya nn? Yakwamba Israel ingeishambulia Iran[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww nakuona unaleta mizaa na utani aisee.

Hii Israel ambayo ina pambana na Hamas ndani ya wiki moja tu imesha anza kuomba misaada ya silaha kutoka Marekani na sasa hivi nasikia Marekani imetuma kikosi cha delta kuja kuisaidia kwenye mashambulizi ya ardhini.

Israel hii ambayo imekusanya wanajeshi laki 3 na nusu kwenda kupambana na wanamgambo wasio zidi 20,000 wasio miliki silaha yeyote zaidi ya bunduki na viroketi vya kutengeneza kienyeji ndo aje kupambana na jeshi la Iran lenye kila aina ya silaha za kimamboleo?

Kama ni kushiriki vita sio razima apeleke wanajeshi anaweza kuwa anatoa silaha kwa hamas kama anavyo fanya Marekani nchi Ukraine ,na hata asipo saidia hiyo ni juu yake kwa sababu sio razima ashiriki katika kila mzozo hali ya kuwa hana maslahi nao.
Wewe siku zinakuja hutaonekana kabisa humu na labda hata msikitini hutaenda kwa maana utahoji uwezo wa allah kuwalinda wale wanaojitolea mhanga kumpigania kama anavyolazimisha apiganiwe.
 
Watu wanadhania zile Hollywood za wayahudi wa America ni uongo, universal soldiers ni wauni flani hivi maroboti yenye nyama
 
Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

Inafaa Kusoma

Bw. Netanyahu alisema:
Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo.
[emoji838] Miaka 60 iliyopita!
[emoji838] hakuna nchi. Hakuna Jeshi.

Nchi saba za Kiarabu zilitangaza vita dhidi ya dola hiyo ndogo ya Kiyahudi, saa chache tu baada ya kuundwa kwake!
[emoji838] tulikuwa Wayahudi 650,000 dhidi ya mamilioni mengi katika ulimwengu wa Kiarabu!

Hakukuwa na IDF yenye nguvu (Vikosi vya Ulinzi vya Israeli).

Hakuna jeshi la anga lenye nguvu la kutuokoa bali ni watu wa Kiyahudi wajasiri wasio na mahali pengine pa kwenda.
[emoji838]Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia zote zilishambulia kwa wakati mmoja.
[emoji838]Nchi ambayo Umoja wa Mataifa ulitupa ilikuwa ni jangwa 65%.

[emoji838] Miaka 35 iliyopita! Tulipigana na majeshi matatu yenye Nguvu zaidi katika mashariki ya kati, na tukayafagilia kwa siku sita.

Tulipigana dhidi ya miungano mbalimbali ya nchi za Kiarabu, ambayo ilikuwa na majeshi ya kisasa na silaha nyingi za Soviet, na sisi daima tumewapiga!

Leo tunayo:

[emoji838] Jimbo (Nchi)
[emoji838] Jeshi,
[emoji838] Jeshi la Anga lenye Nguvu,
[emoji838] Uchumi wa Hali ya Juu na mauzo ya nje yenye thamani ya mabilioni ya dola.
[emoji838] Intel - Microsoft - ibm na kampuni nyingi za teknolojia ya juu hutengeneza bidhaa za kisasa nchini Israeli
[emoji838] Madaktari wetu hupokea tuzo kwa ajili ya utafiti wa kimatibabu.
[emoji838] Tunafanya jangwa kuchanua, na kuuza machungwa, maua na mboga kote ulimwenguni.

[emoji838] Israel imetuma satelaiti zake angani!

[emoji838] satelaiti tatu kwa wakati mmoja!
[emoji838] Tunajivunia kuwa katika daraja sawa na:
[emoji838] Marekani, ambayo ina wakazi milioni 250,
[emoji838] Urusi, ambayo ina wakazi milioni 200,
[emoji838] China, ambayo ina wakazi bilioni 1.3;
[emoji838] Wazungu - Ufaransa, Uingereza, Ujerumani - yenye wakazi milioni 350.
[emoji838] nchi pekee ulimwenguni kutuma vitu angani!

[emoji838] na kusema kwamba miaka 60 tu iliyopita,
[emoji838] tuliongozwa, tukaaibishwa na kukosa matumaini, kuchinja!
[emoji838] tumepitia magofu ya uvutaji sigara ya Uropa,
[emoji838] tumeshinda vita vyetu hapa Israel bila chochote

[emoji838] tulijenga "Empire" yetu ndogo bila chochote.

Hamas ni nani wa kunitisha?
[emoji837] ili kunitisha?
[emoji837] unanichekesha!
[emoji837] Pasaka iliadhimishwa;

Tusisahau Pasaka ni nini:
[emoji837] tuliokoka kwa Farao,
[emoji837] tulinusurika na Wagiriki,
[emoji837] tuliokoka Warumi,
[emoji837] tulinusurika kwenye mahakama ya kidini nchini Uhispania,
[emoji837] tunayo mauaji nchini Urusi,
[emoji837] tulinusurika na Hitler,
[emoji837] tulinusurika na Wajerumani,
[emoji837] tulinusurika kwenye mauaji ya Holocaust,
[emoji837] tulinusurika na majeshi ya nchi saba za Kiarabu,
[emoji837] tulinusurika Saddam.
[emoji837] tutanusurika na maadui waliopo

Fikiria wakati wowote katika historia ya mwanadamu [emoji615]

Fikiria juu yetu, kwa ajili yetu, watu wa Kiyahudi,
[emoji841] hali haijawahi kuwa nzuri!
[emoji841] basi tukabiliane na ulimwengu,

Wacha tukumbuke:
[emoji840] mataifa yote, himaya au tamaduni zote
[emoji840] ambaye wakati fulani alijaribu kutuangamiza,
[emoji840] haipo tena leo - tungali tunaishi!
[emoji840] Misri?
[emoji840] Babeli?
[emoji840] Wagiriki?
[emoji840] Alexander wa Makedonia?
[emoji840] Warumi? (kuna mtu bado anazungumza Kilatini siku hizi?)
[emoji840] Reich ya Tatu?

Na tuangalie

[emoji838] Watumwa wa Misri,
[emoji838] Watu wa Musa
[emoji838] Taifa la Biblia,
[emoji838] Bado tupo hapa,

Na Kiebrania bado ni lugha rasmi ya Jimbo la Israeli leo:

[emoji626] tangu wakati wa Biblia na sasa!
[emoji626] Waarabu bado hawajajua,
[emoji626] lakini watajifunza kuwa kuna Mungu.
[emoji626] mradi tu tunahifadhi utambulisho wetu, tuko milele.

Basi tusamehe kwa kutokuwa na wasiwasi,
[emoji840] sio kulia,
[emoji840] kutoogopa.
[emoji840] Mambo ni sawa hapa.
[emoji840] bila shaka wangeweza kuwa bora,

Hata hivyo:
[emoji837] Usiamini vyombo vya habari,
[emoji837] hawakuambii mambo mengi mazuri kuhusu Israeli
[emoji837] sherehe zinaendelea kufanyika katika Israeli,
[emoji837] watu wanaendelea kuishi,
[emoji837] watu wanaendelea kutoka,
[emoji837] watu wanaendelea kuona marafiki.

Wengine wanadai ari yetu iko chini.
[emoji838] ili iweje?

Ni kwa sababu tu tunaomboleza vifo vyetu huku adui zetu wakifurahia damu iliyomwagika na vita.

[emoji838] ndio maana tutashinda, mwisho.

Mungu wa Israeli aliziumba Mbingu na Nchi.
Mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali!
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo , Nipo ambaye nipo haangalii wingi wa Jeshi wala idadi ya farasi anajipigania mwenyewe

Copy & paste
Nimeikuta pahali
 
Shambulio lililofanywa na Hamas ni historical,

Wameuwa maelfu na kuchukuwa mateka waisrael wasiokuwa na idadi

Haijawahi tokea toka kuanzishwa kwa taifa la Israel. ...

Maswali::
1. Dunia nzima wanajiuliza (including waisrael wenyewe) Hamas wanajiamini nini kwa kufanya uchokozi mkubwa katika historia ya chokozi zote duniani (911 included) ..hasa ukizingatia huko nyuma vita baina yao ilisababishwa na kisa kidogo sana( kumteka mwanajeshi wa Israel mmoja)

2.Mossad ....ni shirika la kijasusi la Israel ambalo linasemekana ndio lenye uwezo na utaalamu wa mambo ya kijasusi kuliko mashirika yote duniani" limefelije kujua mpango wa uvamizi wa Hamas? ...na nini kingine hawakijui ...maana isijekawa trap iliyoratibiwa na kuandaliwa vizuri

3. Bombing Gaza ni kitu cha kawaida kwa waPalestina, kuingia vitani mtaa kwa mtaa Gaza ni mission ngumu sana kwa waisrael kwani hakuna Frontline maalumu ni vita vya kuoteana (urban gorilla warfare )....ila mwenyeji obviously will have upper hand kwa sababu ya familiarity with location &terrains. . ... je kuna appetite ya kutosha?

4. Wakisha ingia Gaza, what is the endgame, km vita ikienda ndivyo sivyo" what is the plan B

5. pamoja na Israel kuwa na silaha za kisasa sana za kivita.....are its soldiers are gorilla battle hardened? ...maana kuna tetesi zile njemba za Hizbu ambazo zimezoea shughuli pevu toka Syria zimeingia kitambo...

Haya maswali yanahitaji cooler& sober mind kuyajibu kwanza kwa ufasaha kabla ya kuingia kwenye huu mwaliko wa vita Gaza.

Nb. Naomba niwakumbushe wakristo wenzangu taifa la Mungu la israel sio hili linaloongozwa na Bibi...

Tuendelee kumuomba Mungu awanusuru wote kwenye kwenye hili janga ambalo hakuna anayejua mwisho wake.
Nimepata kitu , dawa ni moja raia kuama , ili eneo husika pasiwepo cha gof pawe flat
 
So hawa 300,00 askari wote ni

Sayeret Matkal?​

Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.

Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.

Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================

Israel-Palestine LIVE Updates: Thousands Flee As Israeli Forces Raid Gaza Strip

Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.

As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Kutii ni bora kuliko dhabihu. Watoto wa Yakobo wamefanya kazi nzuri kabisa, kobazi zimechapika kweli kweli. Ashukuriwe Mungu wa Abraham, isaka na Yakobo.
 
Nimepata kitu , dawa ni moja raia kuama , ili eneo husika pasiwepo cha gof pawe flat
Ni sawa na kuwaambia watu wa Dar wote wahame ndani ya masaa24, watakuuliza' tuhamie wapi?....

Ukiwajibu around eneo la uwazi la Mikese ..watakuuliza tutaishije?
..ukishindwa kuwajibu watabaki hapo hapo.

Huko Gaza wapo walioondoka, wapo watakaobaki mpaka mwisho....km Ukraine tu.
 
Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.

Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.

Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================

Israel-Palestine LIVE Updates: Thousands Flee As Israeli Forces Raid Gaza Strip

Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.

As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Kiongoz wao yuko Doha Qatar anakula bata hotelin. Wakati masikin wa kipalestina aliowasababishia msala wanateketea.
 
Hatari sana
 
Wewe siku zinakuja hutaonekana kabisa humu na labda hata msikitini hutaenda kwa maana utahoji uwezo wa allah kuwalinda wale wanaojitolea mhanga kumpigania kama anavyolazimisha apiganiwe.
Acha ufala vita sio kuchaza sindimba na ndio maana mpaka sasa Israel haijaingia gaza amekalia kurusha mabomu hovyo hovyo tu kutoka mbali.
 
Kiongoz wao yuko Doha Qatar anakula bata hotelin. Wakati masikin wa kipalestina aliowasababishia msala wanateketea.
Mkuu hiyo ndio siasa hata upande wa Israel iwapo wataanza vita ya ardhini kuna wanajeshi kibao watapitia matatizo makubwa na vifo wakati Netanyau atakuwa Telavivu ana chakata mbususu ya mkewe.
 
Mkuu hiyo ndio siasa hata upande wa Israel iwapo wataanza vita ya ardhini kuna wanajeshi kibao watapitia matatizo makubwa na vifo wakati Netanyau atakuwa Telavivu ana chakata mbususu ya mkewe.
Huwajui Jews wewe. Wao wanapambana ni either wafe au wapone. Kuna wakati ikifika utawaona front kila mtu. Maana wakichemka hapo hawana pengine pa kwenda. Jews around the world wako njian wote kupigania taifa lao
 
Ya kwamba Netanyau atakuwa moja wapo ya watakao kwenda gaza kupambana na hamas au unamanisha nn?
 
Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.

Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.

Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================

Israel-Palestine LIVE Updates: Thousands Flee As Israeli Forces Raid Gaza Strip

Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.

As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
[emoji845][emoji1134][emoji3538][emoji1193] Photos of the destroyed IDF CH-53D helicopter that was destroyed exactly a week ago. #IsraelPalestineConflict #Palestine #Hamas

According to some reports all 50 IDF soldiers were killed.

According to some Israeli sources they managed to survive.
IMG_20231014_175321.jpg
 
Acha ufala vita sio kuchaza sindimba na ndio maana mpaka sasa Israel haijaingia gaza amekalia kurusha mabomu hovyo hovyo tu kutoka mbali.
Wee unaona yanarushwa hovyoeee

Akili za madrasa bhana
 
Mkuu hiyo ndio siasa hata upande wa Israel iwapo wataanza vita ya ardhini kuna wanajeshi kibao watapitia matatizo makubwa na vifo wakati Netanyau atakuwa Telavivu ana chakata mbususu ya mkewe.
Kuna Vita isiyo na vifo!?
Au unatukumbusha.
 
Back
Top Bottom