Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Wakijua kwa kuwa Israel wana maendeleo makubwa, na kila auna ya maisha mazuri basi watakua ni waoga waoga na watu wa jukiakia. Kumbe wenzao ni watu ku dance to the tune.
Safari hii wameya kanyaga.
 
This is not true
Kwamba Leo hakuwa mpakan au. Unavyomuona Rais wa Ukraine anaenda front kuwapa moyo na kuongea na wapiganaji ndivyo wanavyofanya Jews kwa taarifa yako
 
When are the Jews bombardments against terrorists beggining?I've missed seeing the rubbles, already!@MK254
 
Excess of Jewish Nation knows no bounds. How many palestinian death are one too many- 1,11,101,1001,10001,100001,10000001?Much as I detest Hitler probably, remotely- damn somethings are best unsaid.
 
Waajemi wanachungulia without any comment. May be watafanya surprise attacks kuifuta Israel kwenye uso wa dunial kama wanavyojiapiza daily!
Tangu jenerali wao amedunguliwa na na drone hawana hamu na infidels
 
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida
Acha uongo, hao 300k wengi ni majeshi ya akiba only 170k ndio regular army. Why Wakenya mnapenda kushabikia vita wakati mmeona Al shabaab wanavyowatoa jasho huko NorthEastern!
 
Acha uongo, hao 300k wengi ni majeshi ya akiba only 170k ndio regular army. Why Wakenya mnapenda kushabikia vita wakati mmeona Al shabaab wanavyowatoa jasho huko NorthEastern!

Punguza mihemko uelewe nilichomaanisha, rudi usome upya bila hisia za kijinga.
Wanajeshi wa Israel sio wa kawaida kama mlivyozoea, hawa huwa ni watu ambao hupigana wakiwa tayari kujitoa mhanga, maana wanapigana na adui walioaminishwa kidini kuwafuta kabisa kwenye dunia hii.
Kasome nini maana ya kiapo wanachokula wanajeshi wa Israel kinachoitwa "Samson option".

Hivyo ndugu zako wanapojifanya mahodari wa kujitoa mhanga, basi wanakuja kupambana na machizi zaidi yao mara kumi.
 
Mkuu ni kweli wameamua kujitoa muhanga!
Operation ya nchi kavu ni ngumu!
Changamoto iliyopo pale ni kwamba chini ya ardhi ya Gaza kuna mahandaki mengi na njia za chini (tunnels) ambazo kule wapiganaji wa Hamas wanajificha na silaha, na inasemekana kuna hata viwanda vya silaha!
Sasa IDF nchi kavu, wanapenyaje kwenye mahandaki hayo kirahisi?
 
Hakika Mwenyezi Mungu ni shahidi kwa yale mmayoyapitia ndugu zangu wapalestina. Bila shaka haki yenu mtaipata siku ya kuyama. Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni hakimu juu ya mahakimu

Waambie kiongozi wa Hamas aje Gaza kupigana aache kujificha hotelini Qatar.
 

Ndio maana wakaomba raia waondoke. Ili wayashambulie hayo mahandaki vizuri.
 
Vita haziendi hivyo, majeshi mengi yanategemea air cover ikiwemo Israel ila hizo militias kama hamas zimezoea Street to Street Battle same as Cuba invasion au Vietrnam War zimeonyesha mara zote kwamba kuwa na jeshi kubwa na hatari haina impact kwenye ground warfare.

Doesn't matter atashinda nani ila vifo ni vingi sababu ni hand to hand combat so tuache ushabiki. Mbona Kenya mna jeshi imara ila mnashindwa na wezi wa ngombe kule kapedo au Trans mara??

Wengi humu mnashabikia tu ila hamjawahi ona madhara ya vita hasa streetfight!!
 
Wapelestina wengi wamegoma kuhama, wamesema tutafia majumbani kwetu. Kuhamisha wapelestina zaidi ya millions moja ni ndoto ya mchana- utter madness. Wounded bull Israel runs amok-soon to be slaughtered in the tunnels of Gaza.

Waache ubishi waondoke. Unapofanya Jambo kubali na madhara yake. Wao waendelee huko warundikane kaskazini halafu, wagawanywe waendelee Iran Gaza ibaki Israel. Palestine State wapewe Fatah ya Abbas sio hao Magaidi.
Amepata kisingizio, labda hata walilipanga hilo
 

Wiki sasa inakatika toka waseme wanaingia Gaza[emoji23][emoji23][emoji23].

Kwani wanaogopa nini kuingia Gaza
 
Vita ina ibada.yani mpo vitani alafu useme kanivizia nilikuwa kwenye ibada[emoji23][emoji23]
 
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao,
Mbona Hitler aliwachinja million 6 na hakuna kitu walifanya!!? Hao wana back up ya USA tu ndio inayowapa lifeline otherwise sielewi exaggerations za humu ndani.
 

Ndio nimekuambia hawa hawaendi kupigana vita ulivyozoea maana kwao kushindwa ni hatari ya taifa lao kufutwa, wamezungukwa na majitu ya dini ambayo imetoa maagizo wauawe wote

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Wiki sasa inakatika toka waseme wanaingia Gaza[emoji23][emoji23][emoji23].

Kwani wanaogopa nini kuingia Gaza

Wameendelea kuruhusu mazombi yenu yatoe watoto na wanawake ambao wanaendelea kutoka kwa maelfu, endelea kusubiri hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…