PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wakijua kwa kuwa Israel wana maendeleo makubwa, na kila auna ya maisha mazuri basi watakua ni waoga waoga na watu wa jukiakia. Kumbe wenzao ni watu ku dance to the tune.Yeye anaingia na kutoka hata leo alikuwa mpakan. Na waziri mkuu aliyepita yuko front line. Unajua waarabu walikuwa wanajiona wao ni wazee wa kujitoa mhanga wamekuta muisrael yuko tayar kufa mara kumi yake ndipo alipochoka. Jews wanapambana ile ya survive of the fittest. Akishindwa wanafutwa
Safari hii wameya kanyaga.