Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Mbona wenzetu ulaya hakuna malaria je kwanini tusitumie mbinu zao au na wao watumie hao mbu basi.
 
Tatizo lako hua unajiona bonge la Intelligent kumbe bumunda tu,
Hivi kama wengetaka kutumaliza si wangetumia njia nyepesi tu na zisizo na gharama since day one,
Wana donate vingapi vya bure na vinatusaidia angalau kimtindo kusogeza siku?
Drugs unapata kwa hati punguza kama Sio bure,hata viwanda vyetu vya ndani vinaagiza material kwao,
Haya nguo na takataka chungu mzima bado na mikopo wanawapa maskini nyie yaani waanze kutumia njia ndefu kuwaangamiza Ili wagundue nini?
Kipi unachokifanya hawajui hapa tu unatumia application zao ni Wana uwezo wa ku launch mionzi hatari kwenye hicho ki simu chako within a minute una dead?

Wapi utakwepa Mwamba?
Don't think you are great Elite than others here and people from JF whatcha you like
Punda wa Herode you know nothing about World but unajichoresha kama mfuasi wa mfufua misukule or is you nigga?
😁😁
 
Mkuu nadhani ni dhahiri kabisa hawa mbu ni silaha, yani silent weapon for quite wars.
 
Ndio maana mimekuàmbia wewe poyoyo.So kwa kuwa the establishment wanaagiza vitu kwao basi ni sawa,you yourself can't have a second thought kuwa inawezekana kufanya hivyo ni makosa,kwa kuwa inawezekana vifaa hivyo kiafya havifai.Halafu eti najifanya mimi ni bonge la intelligent,mawazo ya chini kweli haya.Kwa hiyo mtu akikupa mawazo mbadala amejifanya bonge la intelligent.

Tatizo ni kwamba mnatetea vitu vya kijinga, utetezi ambao unaweza kuwafanya wasiojua waone vitu hivyo ni sahihi na kuvikubali,kitu ambacho lazima tukipinge kwa nguvu zetu zote.Hatuwezi kukubali watu wetu waharibiwe na uchumia tumbo wa watu wachache Kama ninyi.
 
Yani Hao wenye bongo zao wakiamua kutuua Waafrika Wote ni swala dogo sana
Ulikuwa umejichimbia wapi wewe karibu tena.Anyway Otorong'ong'o kama kawaida yako wewe Mungu is out of your equation.Ila nikuambie hivii,kama ingekuwa rahisi kama unavyodhani,they would have wiped us all by today,kwa kuwa hilo ndilo lengo lao.But they can't because they do what God only allows them to do.Infact hata wao wenyewe wanakiri kwamba,it is proving difficult to do what they want to do.Remember they want the World population to be reduced to 500 zombies people only.
 
Umeongea kitoto sana...Toa takwimu madhara halisi ya hao Mmbu na sio kuhisi tu...apo ulipo unatumia simu za wazungu, dawa za wazungu na vitu kibao kutoka kwao...Next time uje Na Data za kutosha
Mtaalamu anajua kufanya hivyo si sawa.Wamefanya kitu kama hicho Brazil kimeback fire na nilileta mada hapa kuonyesha tatizo hilo.Nilishaleta mada hapa full kuhusu ubaya wa Oxitec kuachia Mbu kwenye wild Florida US.Tatizo ni kwamba vitu muhimu mnavipa lip service mnataka udaku.Hii sio mara ya kwanza Oxitec wana-release GMO mosquitoes to the Wild,na hakuna ushahidi kwamba wanasaidia kudhibiti Malaria,ni utapeli tu wa Bill Gates.Infact anayemjua Bill Gates na Globalists kwa ujumla hawezi kukubali ujinga huu.
 
Hapo imetafutwa style ya kuzalisha tatizo jipya ili watu wauziwe dawa.

Wameushindwa ukimwi miaka karibia 50 sasa ni danadana tu huku waafrika wanaangamia. Badala wangekomaa waumalize kwanza wanahangaika na kuleta vifurushi vya mbu.
 
Kwani wafrika mkiifa wote mnafaida gani kwenye hii dunia zaidi ya hasara tu.......wenda ni mpango wa Mungu kuifuta hii rangi nyeusi iriyotoroka mbinguni kabla haijamaliziwa kuumbwa vizuri.........
 
fanyaa utafiti ili uthibitishe unayoyasema otherwise hizo ni speculations tu.
 
Mbona wenzetu ulaya hakuna malaria je kwanini tusitumie mbinu zao au na wao watumie hao mbu basi.
watuletee na ile baridi yao kali basi.

Kuna aina ya maradhi ambayo huwa yanapatikana katika ukanda wa tropiki tu na ndiyo hayo akina malaria, dengue, ebola, vichocho na kadhalika. Na pia wao wanayo magonjwa yao ambayo huwa hayapatikani huku kwetu.
 
Kwani wafrika mkiifa wote mnafaida gani kwenye hii dunia zaidi ya hasara tu.......wenda ni mpango wa Mungu kuifuta hii rangi nyeusi iriyotoroka mbinguni kabla haijamaliziwa kuumbwa vizuri.........
Hujitambui mkuu.Ungejua Waafrika ndio watu Mungu aliokusudia na Wazungu ni Mazeruzeru tu.Hivi hamjiulizi kwa nini Wazungu hawana Melanin na kwa nini sisi tuna Melanin.Curiosity zero.

Wazungu sio original race,wametokana na sisi kama Mazeruzeru tu,jiongezeni
 
Wazubgu wangekuwa na Nia ya kuwamaliza waafrica wasingehangaika na madawa wangezuia misaada ya chakula na madawa tu mkaisha kwa njaa na magonjwa.
 
fanyaa utafiti ili uthibitishe unayoyasema otherwise hizo ni speculations tu.
Naomba ufuate link ifuatayo uone ukweli wa ninayo ongea.It is not speculation.


Ila ukweli ni kwamba huhitaji PhD kujua kwamba the technology is dangerous.Yaani it is so obvious,Ninachoshangaa ni Wanadamu kuwa na IQ ndogo kiasi kwamba wanakubali vitu ambavyo it is even a danger to themselves.Very pathetic indeed.
 
Wazubgu wangekuwa na Nia ya kuwamaliza waafrica wasingehangaika na madawa wangezuia misaada ya chakula na madawa tu mkaisha kwa njaa na magonjwa.
Hapa ndipo inapo onekana wazi kwamba ninyi watu hamjitambui.Laiti mngejua Waafrika ni watu gani duh!We are the original people who God created mkuu,Wazungu ni Mazeruzeru tu.Have you ever asked yourself kwa nini Wazungu hawana Melanin na sisi tuna Melanin.Takeni kujua mambo,msikae kihasara hasara tu.

Anzia kwenye link ifuatayo ili ujitambue na ujue Wazungu ni watu wa namna gani.


View: https://youtu.be/_8gKT7M2EGk?si=u7J7nPDcHOmeooJ-Historia yenu imefutwa ili msijitambue na muwaone wao ni watu wa maana kumbe si lolote ni Mazeruzeru tu.Mkuu kama ngozi ya Mzungu ingekuwa original wasingekuwa na matatizo ya magonjwa ya ngozi mengi hasa Cancers za ngozi wakikaa juani.Matatizo yao ya ngozi yanafanana sana na ya Albino.Hamjiulizi kwa nini?
 
Ayo maneno ya melanin, curiosity zero umeandika kwa lugha yao alafu unasema nini mkuu ,mzungu akufundishe kila kitu kuhusu mwili wako alafu useme umemzidi nini..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…