Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Na wasiwasi wangu ni huu. Mara wameevolve sijui ikawaje kikazaliwa kitu kingine tofauti kabisa, kiumbe cha ajabu kisichodhibitika.
Yes,hiyo ni likehood.Sasa binadamu tumekuwa wajinga kiasi kwamba we support things which we are not even sure of.Wengine wanao support ofcourse ni makarai ya zege ya akina Bill Gates na Globalists na wapo kwenye payrolls zao,Ila sisi wengine tunaojua ubaya wa tekinolojia hii ni lazima tupinge kwa nguvu zetu zote.
 
Point. Binafsi sioni kwanini wachache waplay around na nature kwa ajili ya wengi ilihali pakitokea tatizo moja kwa moja wengi wanaangamia.
 
Huna akili na hustahili majibu sahihi narudia tena HUNA AKILI akili Yako ni ya mtoto wa Sekondari inaongozwa na hisia
 
Huna akili na hustahili majibu sahihi narudia tena HUNA AKILI akili Yako ni ya mtoto wa Sekondari inaongozwa na hisia
Mkuu, embu tuwe neutral. Tuassume tu kila mtu yupo sawa katika hili halafu tulichunguze.

Mfano, Kuku wa kisasa, mbegu za mazao ya kisasa zimeleta tatizo la kansa ambalo halikuwa kubwa, hawa mbu wa kisasa huoni kama wanaweza leta kitu?
 
"My take" hizo take zako umezidraw kutoka wapi? Watu wako maabara miaka na miaka kufanya tafiti we unakuja kutoa opinion zako hivyo tu.

Tafiti inapingwa na tafiti brother kaka.
 
Mkuu, kwani kwanini wazungu wanataka tufe wote?
1.Shetani kazi zake ni kuua, kuiba, na kuharibu.Sasa kwa kuwa Globalists na kwa ukweli Wazungu wote wanatawaliwa na Shetani,ni obvious watataka kutekeleza matakwa ya Shetani,kuua.
2.Wazungu hawataki kabisa Waafrika.Why?Sisi ndio umbaji halisi wa Mungu,na ndio maana tuna Melanin,na Wazungu hawana.Wazungu wametokana na sisi kama walivyo Albinos,na wanalijua hili.Ndio maana wanatuchukia sana,na wanajaribu kutumia kila mbinu kuficha ukweli huu na kutudhalilisha.Kwa bahati mbaya sana kwao ukweli huu sasa umefahamika and they have no where to hide .Mkuu hivi unajua kwamba kwa kiasi kikubwa Wazungu wana matatizo ya ngozi waliyonayo Albinos?Jitambueni,tembeeni kifua mbele.Wazungu ni sub-human.

Fuata link ifuatayo uone ukweli huo.

View: https://youtu.be/_8gKT7M2EGk?si=1jg7O1_6FSbq44JD
 
Hizi hofu na uhafidhina wa dini ndio kumeifanya dunia ichelewe kimaendeleo,hao mbu lengo lake kuu ni kukomesha kizazi cha mbu hao waenenzao magonjwa,umekili wazi mpango huo umefanikiwa katika nchi mbalimbali kudhibiti magonjwa,sasa hofu yako ni nini?acha uhafidhina wa kidini waza kuhusu maendeleo na sayansi yenye majibu yanayoonekana kuliko hizo dini.
 
Sio suala la Dini,fuata link ifuatayo,najua nisemayo,sibahatishi.

"My take" hizo take zako umezidraw kutoka wapi? Watu wako maabara miaka na miaka kufanya tafiti we unakuja kutoa opinion zako hivyo tu.

Tafiti inapingwa na tafiti brother kaka.
Mkuu,
Binafsi kila nikitazama mabanda ya kuku huwa nawaza kwanini hawafikirii kuhusu upendo tunaowaonyesha kwa kuwajengea banda la kuishi? Ukweli ni kwamba hata sisi binadamu tumezidiana akili sana kama tulivyowazidi kuku akili. Huenda kuna ambaye anatazama binadamu wenzake kama kuku tu. Hofu kama hizi ndo huzaa mawazo kama ya mleta mada.
 
Huna akili na hustahili majibu sahihi narudia tena HUNA AKILI akili Yako ni ya mtoto wa Sekondari inaongozwa na hisia
Fuata link ifuatayo mkuu,sibahatishi.Ninayosema nayajua.Niseme pia kwamba huhitaji PhD kujua kwamba tekinolojia hiyo ni mufilisi and defunct hata kabla haija tumiwa,IQ ndogo tu should make that clear.Ninyi aidha mnatumiwa au hamna independent minds.Mnapaswa kuhurumiwa sana,yaani mna endorse vitu vya kijinga kabisa.
 
Ok, sawa. Let say upo sahihi 100% swali linakuja, Hakuna watu weusi wauaji? Hawa tuwaweke kundi lipi? Maana hapo congo tu kuna watu wanachinja kabisa bila woga.
 
Nikuambie nini mkuu,wala sio hofu,ni ukweli.Mimi naongelea vitu ambavyo nina uhakika navyo na hata akina Bill Gates,Claus Schwab,Noah Hariri,Rothschild, Rockefeller na Globalists wengine wanakiri ukweli huu.Wanataka kupunguza wanadamu dunianiani wabaki 500 million zombies tu.Jamani hivi ninyi mbona mmelala sanaa!Eh!!

Sasa huu mradi wa Mbu wa GMO ni nini,ni mradi mmoja wapo you Kati ya mingi ya kupunguza watu duniani,amkeni jamani,mbona mmelala sanaa,tunamalizwa.
 
Ok, sawa. Let say upo sahihi 100% swali linakuja, Hakuna watu weusi wauaji? Hawa tuwaweke kundi lipi? Maana hapo congo tu kuna watu wanachinja kabisa bila woga.
Hakuna race ovu kama Wazungu,I know their schemes,wewe inawezekana hujui.Weusi wauaji wapo,ila wameiga kwa wlWazungu.Waafrika Ni very spiritual people,hata Wazungu(Ma-Albino) wanakiri.

Na hapo Congo unajua nani wapo hapo,Mmarekani na Khazarian Mafia(Wanaojiita Waisraeli kumbe sio.Hawa ndio wanaotawala Israel).Hawa ndio wanao wafundisha Wakongomani kuua.
 
Hakuna race ovu kama Wazungu,I know their schemes,wewe inawezekana hujui.Weusi wauaji wapo,ila wameiga kwa wlWazungu.Waafrika Ni very spiritual people,hata Wazungu(Ma-Albino) wanakiri.
Ok boss
 
Kuna wakati ambao idadi ya binadamu ilipungua ghafla duniani? Au imekuwa ikiongezeka tu?
 
Kuna wakati ambao idadi ya binadamu ilipungua ghafla duniani? Au imekuwa ikiongezeka tu?
Nchi nyingi duniani birth and fertility rates are at all time low.Hata watu wanaongezeka, but it is at a decreasing rate.

Fuata link ifuatayo uone fertility rates na birth rates za US, they are at all time low.Sitakuambia kwa nini,but it is worth knowing,find out yourself why.

Hii ndio trend ya almost all countries world-wide.
 
Kwa hiyo tunaongezeka kwa kupungua. Ok, hofu ya idadi kuwa kubwa sana inasababishwa na nin? Kwanini Wenye akili hao unaowaita Albino hawataki tuwe wengi sana?
 
Kwamba iko hivyo au haiko hivyo ila uhalisia ni kuwa una kiwango Cha kawaida sana Cha akili na uwezo wa kuzuia hisia
Mkuu, embu tuwe neutral. Tuassume tu kila mtu yupo sawa katika hili halafu tulichunguze.

Mfano, Kuku wa kisasa, mbegu za mazao ya kisasa zimeleta tatizo la kansa ambalo halikuwa kubwa, hawa mbu wa kisasa huoni kama wanaweza leta kitu?
Inawezekana kuwa mleta mada akawa sahihi lakini mtindo mpya wa maisha umeathiri jamii yote iwe wazungu au waafrika Sasa hizi hoja kuwa wazungu wanataka kuondoa kizazi Cha waafrika sidhani kama ni sawa.
Bidii kubwa sana inafanywa kupambana na magonjwa duniani na kuweza kumudu mabadiliko ya tabia nchi hatuwezi kujificha katika hisia na kurudisha nyuma bidii hizo
 
Ni kweli. Side effect ya bidii kama ya mbu wa kisasa wangeziweka wazi. Maana tumeona mambo mengi ya kisasa yanakuja na side effect.
 
Kwa hiyo tunaongezeka kwa kupungua. Ok, hofu ya idadi kuwa kubwa sana inasababishwa na nin? Kwanini Wenye akili hao unaowaita Albino hawataki tuwe wengi sana?
Ngoja nikupe pia picha ya fertility rates duniani kote,hii hapa👇

Hao unaowaita wana akili,hawana akili yeyote, nimesoma nao darasa moja,najua wanavyoteseka kwenye jua,na harufu mbaya wanayotoa wakiwa kwenye jua, so mtu haniambii kitu kuhusu wao.

Mkuu mnajua,haya mambo by now mnapaswa muwe mnayajua tayari.Hivi unajua kwa nini Vita haishi Congo,Syria,Iraq,Israel-Palestine,Russia-Ukraine nk.?Struggle for power and resources.Nadhani Sina haja ya kuendeleza zaidi,the rest utamaliza mwenyewe,labda kama wewe ni poyoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…