Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

subhuman ni wewe hapo, unadhani mimi ni mjinga wa mambo ya biotechnology? Wewe nimekwambia thibitisha unaanza ooooh subhuman, vinahusu nini?
 
ati the technology is dangerous, thibitisha basi mbona unashindwa? Mbona unapeleka watoto kupigwa chanjo kila leo na zile zinatumia 'recombinant DNAs' kwa miaka zaidi ya ishirini? Munakula macereals ya madukani na vyakula vingi tu ambavyo ni modified tayari? Haya Mr. IQ usipeleke mtoto hospitali kupigwa chanjo maana wewe ni anti GM
 
Hao mbu hawajaletwa kusaidia kupambana na maralia. Wameletwa kuleta vimelea vipya vya magonjwa. Nguvu kubwa inatumika nyuma ya wendawazimu wanaojiita viongozi kutumia mamlaka walizopewa kuwasaidia na kushirikiana na haya mataifa ya magharibi katika kusambaza magonjwa hatarishi.
 
Umejuaje kuwa jamaa hayupo sahihi na hao unaowatetea ndio watu wazuri?

What if kuna vitu anavijua na wewe hauvijui na yeye amekuja kushare warning?

Ni vipi kama taarifa alizonazo ni ngumu sana kushare na kwa mtu wa kawaida kuzielewa.
 
Nakushauri huyu umtafute tumpige viboko kabisa maana huyu ana akili zile zile za hawa watu waliopo serikalini wenye maamuzi ya hovyo na waendekeza tamaa wasiofikiria vizazi vijavyo hata kidogo.
 
Kama Wana nia ya kutokomeza Malaria, kwa nini wasije na dawa ya kuua hao mbu kabisa...


Cc: Mahondaw
Swali la msingi kabisa. As if mbu ameshindikana wakati ni swala la raia, serikali na taifa kwa ujumla kushirikiana ndani ya miaka michache kutokomeza mazalia ya mbu tukawasahau kabisa kama ni wadudu waliokwisha kuwahi kuwapo duniani hapa.
 
Laiti ungenijua,mimi mkuu sio hao unaowajua,watoto wangu hawachanji,never.Sinunui foods dukani,nalima mwenyewe.Najua ukweli wa vyakula vya madukani na vaccines na mambo mengine mengi.Sijivuni mkuu,I am very smart,Mungu niliye naye ananionyesha kila kitu.In God's hands I am safe.
 
Nakushauri huyu umtafute tumpige viboko kabisa maana huyu ana akili zile zile za hawa watu waliopo serikalini wenye maamuzi ya hovyo na waendekeza tamaa wasiofikiria vizazi vijavyo hata kidogo.
Ingewezekana ingekuwa vizuri.
 
lucky you! usisafiri basi ubaki kijijini tu na organic foods zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…