Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Ungewajua Globalists na Bill Gates ambaye ndiye anayefanya upuuzi huu usingesema inayosema mkuu.Halafuu binadamu ninayemjua hakubali kitu ambacho hakijathibitishwa ubora wake,Sasa ninyi mkoje,mbona mnakuwa kama sub-human?Are you really human,sidhani.

Anyway fuata link ifuatayo uone ninayo ongelea.

subhuman ni wewe hapo, unadhani mimi ni mjinga wa mambo ya biotechnology? Wewe nimekwambia thibitisha unaanza ooooh subhuman, vinahusu nini?
 
Naomba ufuate link ifuatayo uone ukweli wa ninayo ongea.It is not speculation.

Ila ukweli ni kwamba huhitaji PhD kujua kwamba the technology is dangerous.Yaani it is so obvious,Ninachoshangaa ni Wanadamu kuwa na IQ ndogo kiasi kwamba wanakubali vitu ambavyo it is even a danger to themselves.Very pathetic indeed.
ati the technology is dangerous, thibitisha basi mbona unashindwa? Mbona unapeleka watoto kupigwa chanjo kila leo na zile zinatumia 'recombinant DNAs' kwa miaka zaidi ya ishirini? Munakula macereals ya madukani na vyakula vingi tu ambavyo ni modified tayari? Haya Mr. IQ usipeleke mtoto hospitali kupigwa chanjo maana wewe ni anti GM
 
Hao mbu hawajaletwa kusaidia kupambana na maralia. Wameletwa kuleta vimelea vipya vya magonjwa. Nguvu kubwa inatumika nyuma ya wendawazimu wanaojiita viongozi kutumia mamlaka walizopewa kuwasaidia na kushirikiana na haya mataifa ya magharibi katika kusambaza magonjwa hatarishi.
 
Wewe jamaa unapenda conspiracy theories sana,
Hiyo infirio complex uliyonayo utakuja kufa kihoro,
Sasa hapo cha kuogopa ni kipi?
Au wewe ni agent wa Ibilisi kutia watu hofu ili adui ashambulie vizuri mioyo yao?

You believe in God but still fear Satan?

GTFOH!
[emoji16][emoji16]
Umejuaje kuwa jamaa hayupo sahihi na hao unaowatetea ndio watu wazuri?

What if kuna vitu anavijua na wewe hauvijui na yeye amekuja kushare warning?

Ni vipi kama taarifa alizonazo ni ngumu sana kushare na kwa mtu wa kawaida kuzielewa.
 
Kichwa chako kimejaa makamasi mkuu,so you find releasing GMO mosquitoes into the environment normal.Wewe either ni kihiyo or part of the problem.Poyoyoyo wewe kwa kweli.Sio normal kwa kuwa hujui how they will react in the natural environment.Then nime eleza wazi kwamba Oxitec and the Globalists cannot be trusted for anything.Anyway niachane na wewe kwa kuwa it seems ni kilaza.

Finally nikukumbushe kwamba warning people of dangers ahead is one of the most moral things to do.Jesus Christ did the same.It is only Satan who hides things so that he may catch people by surprise so that they do not have time to prepare and kill them.God does not do that he alerts people,and that is exactly what I have done.
Nakushauri huyu umtafute tumpige viboko kabisa maana huyu ana akili zile zile za hawa watu waliopo serikalini wenye maamuzi ya hovyo na waendekeza tamaa wasiofikiria vizazi vijavyo hata kidogo.
 
Kama Wana nia ya kutokomeza Malaria, kwa nini wasije na dawa ya kuua hao mbu kabisa...

Cc: Mahondaw
Swali la msingi kabisa. As if mbu ameshindikana wakati ni swala la raia, serikali na taifa kwa ujumla kushirikiana ndani ya miaka michache kutokomeza mazalia ya mbu tukawasahau kabisa kama ni wadudu waliokwisha kuwahi kuwapo duniani hapa.
 
ati the technology is dangerous, thibitisha basi mbona unashindwa? Mbona unapeleka watoto kupigwa chanjo kila leo na zile zinatumia 'recombinant DNAs' kwa miaka zaidi ya ishirini? Munakula macereals ya madukani na vyakula vingi tu ambavyo ni modified tayari? Haya Mr. IQ usipeleke mtoto hospitali kupigwa chanjo maana wewe ni anti GM
Laiti ungenijua,mimi mkuu sio hao unaowajua,watoto wangu hawachanji,never.Sinunui foods dukani,nalima mwenyewe.Najua ukweli wa vyakula vya madukani na vaccines na mambo mengine mengi.Sijivuni mkuu,I am very smart,Mungu niliye naye ananionyesha kila kitu.In God's hands I am safe.
 
Nakushauri huyu umtafute tumpige viboko kabisa maana huyu ana akili zile zile za hawa watu waliopo serikalini wenye maamuzi ya hovyo na waendekeza tamaa wasiofikiria vizazi vijavyo hata kidogo.
Ingewezekana ingekuwa vizuri.
 
Laiti ungenijua,mimi mkuu sio hao unaowajua,watoto wangu hawachanji,never.Sinunui foods dukani,nalima mwenyewe.Najua ukweli wa vyakula vya madukani na vaccines na mambo mengine mengi.Sijivuni mkuu,I am very smart,Mungu niliye naye ananionyesha kila kitu.In God's hands I am safe.
lucky you! usisafiri basi ubaki kijijini tu na organic foods zako
 
Back
Top Bottom