Maelfu ya Wafuasi wa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela waandamana mjini Caracas

Maelfu ya Wafuasi wa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela waandamana mjini Caracas

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Siku mbili baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kutoka Ikulu ya nchi hiyo mjini Caracas, maelfu ya wafuasi wake wameingia mitaani kulaani tukio hilo.

1767599749679.png

Tukio la kukamatwa Maduro na mkewe na kisha kupelekwa Marekani kujibu madai ya kufadhili mtandao wa kuuza dawa za kulevya, limesababisha mgawanyiko mkubwa nchini Venezuela.

Soma: Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Wale walioshuhudia ukandamizaji wa utawala wa Maduro wamefurahia kilichotokea huku wafuasi wa kiongozi huyo wakilaani vikali kukamatwa kwake.

Wanampigania mwendawazimu mwenzao?Itakuwa wamemiss kuwa-sodomise mateka na wafungwa wa kisiasa.Bloody sodomies!
 
Watakuambia sababu zingine lakini sababu ni hii

1. Venezuela – The World’s Oil Reserve Titan​

Venezuela holds the largest proven crude oil reserves globally, estimated at approximately 303 billion barrels as of 2024. These reserves are predominantly located in the Orinoco Belt, containing extra-heavy crude oil that requires advanced extraction techniques.

Despite its vast reserves, Venezuela’s oil production has faced significant challenges due to economic instability, infrastructure issues, and international sanctions. In 2024, the country’s oil output averaged around 921,000 barrels per day, a modest increase attributed to strategic partnerships and political maneuvers.

The state-owned company, Petróleos de Venezuela, S.A. (PDVSA), manages the nation’s oil resources. However, its operations have been hampered by limited foreign investment and technical expertise. International collaborations, such as those with Chevron, have provided some relief, but the sector’s full potential remains untapped.

2. Saudi Arabia – Strategic Reserves and Aramco Power​

Saudi Arabia ranks second globally in proven crude oil reserves, with an estimated 267 billion barrels as of 2024. The majority of these reserves are located in the Eastern Province, including the massive Ghawar Field, the world’s largest onshore oil field.

The state-owned enterprise, Saudi Aramco, oversees the kingdom’s oil production and has been instrumental in maintaining its position as a leading oil exporter. In 2023, Aramco produced approximately 9 million barrels per day, with most exports directed to Asian markets.

Saudi Arabia’s influence extends beyond production; as a key member of OPEC+, it plays a pivotal role in global oil price stabilization. Recent discoveries of new oil and gas fields in the Eastern Region and the Empty Quarter further bolster its energy portfolio.

3. Iran – Oil Wealth Amid Sanctions​

Iran possesses the third-largest proven crude oil reserves globally, estimated at 208.6 billion barrels in 2024. These reserves are primarily located in the southwestern region, with significant fields such as Ahvaz and Marun.

The National Iranian Oil Company (NIOC) manages the country’s oil sector. Despite its vast reserves, Iran’s oil production has been constrained by international sanctions and limited foreign investment. In 2024, Iran’s total crude oil distillation capacity was approximately 2.1 million barrels per day.

Geopolitical tensions have further impacted Iran’s oil exports, particularly concerns over the Strait of Hormuz, a critical energy trade route. Nevertheless, Iran remains a key player in the global oil industry, with its reserves accounting for 12% of the world’s total.

4. Canada – Oil Sands Superpower​

Canada ranks fourth in global proven crude oil reserves, with an estimated 171 billion barrels as of 2024. A significant 97% of these reserves are located in Alberta’s oil sands, particularly in the Athabasca, Peace River, and Cold Lake regions.

The Canadian oil industry is characterized by a mix of private enterprises and government oversight. Major oil companies operate in the region, contributing to Canada’s position as the world’s fourth-largest petroleum producer in 2023.

Environmental concerns have been raised regarding oil sands extraction, prompting investments in innovative technologies to reduce emissions and improve sustainability. Canada’s oil exports are primarily directed to the United States, with growing interest in Asian markets.

5. Iraq – Rich Reserves, Risky Terrain​

Iraq holds the fifth-largest proven crude oil reserves globally, estimated at over 145 billion barrels as of 2025. These reserves are predominantly located in the southern region, including the supergiant Rumaila and West Qurna fields.

The oil sector is vital to Iraq’s economy, accounting for a significant portion of government revenue. In 2024, Iraq produced approximately 4.5 million barrels of oil per day, making it the second-largest producer in OPEC.

Despite its wealth, Iraq faces challenges such as political instability, infrastructure issues, and security concerns. The government is actively seeking foreign investment to boost production and aims to increase its proven reserves to over 160 billion barrels.

6. United Arab Emirates – Efficient Giant in the Gulf​

The United Arab Emirates (UAE) ranks sixth globally in proven crude oil reserves, estimated at 113 billion barrels in 2024. The majority of these reserves are located in the emirate of Abu Dhabi.

The Abu Dhabi National Oil Company (ADNOC) manages the UAE’s oil resources, emphasizing efficiency and innovation. In 2024, the UAE’s crude oil production capacity was projected to increase to approximately 3.5 million barrels per day by 2028.

The UAE has invested heavily in its oil infrastructure and is exploring renewable energy sources to diversify its energy portfolio. Its strategic location and stable political environment make it a key player in the global energy market.

The global distribution of crude oil reserves significantly influences energy markets and geopolitical dynamics. Countries like Venezuela, Saudi Arabia, and Iran hold vast reserves that shape global supply and pricing. Meanwhile, nations such as Canada, Iraq, and the UAE continue to develop their resources amidst various challenges and opportunities.

Understanding these reserves’ locations and management is crucial for stakeholders in the energy sector, policymakers, and investors aiming to navigate the complex landscape of global oil production and consumption.
 
kitu ambacho sijakielewa mpaka sasa hivi, ni kwa nini mulisms ndiyo wanaomtetea communist maduro? ukiangalia unaona kabisa Christians (wengi) wanasapoti removal of communist dictator maduro, ila muslims wako naye kumtetea, hivyo hii inathibitisha kile nilichokiamini siku zote kwamba muslims ni communists na islam ni communism ...
 
kitu ambacho sijakielewa mpaka sasa hivi, ni kwa nini mulisms ndiyo wanaomtetea communist maduro? ukiangalia unaona kabisa Christians (wengi) wanasapoti removal of communist dictator maduro, ila muslims wako naye, hivyo hii inathibitisha kile nilichokiamini siku zote kwamba muslims ni communists ...
Usichoelewa ni kwamba adui namba moja ya muslims duniani ni marekani. Yaani kwa muslims ni bora wanywe chai na sheitwan ila sio mmarekani. So kwa muslims hata ikitokea sheitwan akagombana na mmarekani basi muslims woooote (wenye imani kali) wataungana na sheitwani kumtwanga mmarekani. Ni hayo tuu kwa sasa.
 
Hapo Marekani ndio anazidi kufurahi kuwa mipango yake inaenda vizuri kilichobakia hapo ni kutengeneza kundi lake linayoiunga mkono Marekani Keisha kazi
 
Usichoelewa ni kwamba adui namba moja ya muslims duniani ni marekani. Yaani kwa muslims ni bora wanywe chai na sheitwan ila sio mmarekani. So kwa muslims hata ikitokea sheitwan akagombana na mmarekani basi muslims woooote (wenye imani kali) wataungana na sheitwani kumtwanga mmarekani. Ni hayo tuu kwa sasa.

lkn unarudi palepale kwamba muslims ni communists, kwa maana adui wa USA ni communist, i.e watu wanaochukia USA ni communists.

communism ilianzishwa kwa lengo hilo kubomoa Christianity na Capitalism, hivyo aliyeanzisha communism ndiye aliyeanzisha islam pia, ukiangalia sana utaliona hilo ...
 
kitu ambacho sijakielewa mpaka sasa hivi, ni kwa nini mulisms ndiyo wanaomtetea communist maduro? ukiangalia unaona kabisa Christians (wengi) wanasapoti removal of communist dictator maduro, ila muslims wako naye kumtetea, hivyo hii inathibitisha kile nilichokiamini siku zote kwamba muslims ni communists na islam ni communism ...
Umejiunga JF 2007 hii ina maanisha kua umri wako umesonga ila umetawaliwa sana na udini,kila jambo hua unaliangalia kwa mrengo wa kidini,mara nyingi wazee kama wewe ndio wale waliocheza ujanani mwao,hivyo faraja pekee uliyoibakiza ni chuki ya udini na ubaguzi wa kidini,

Hii mada haijaongelea udini,jikite kwenye mada,mleta mada ameleta mada ya maandamano Venezuela ya raia wakipinga kua koloni la US na kulinda rasilimali zao.
 
hata mimi sijaongelea huo unaouita udini, nimetoa tu trend kwamba wanaomsapoti communst maduro ni muslims na wengi wanaona alikuwa ni distator na alistahili kilichompata ni Christians, na huo ni ukweli wala siyo huo unaouita udini ...
 
Wewe utakua una tatizo kubwa sana japo bado hujaligundua tatizo lako,ulichokikataa kwenye hii comment yako ndio hicho hicho unachokikubali kwenye the same comment! na sio hapa tu,kila mada lazima ulete issue za udini,bado una nafasi usiyakatie tamaa maisha,

Hiyo research yako umeifanyia wapi? ulichukua sample wapi na wapi na kwa kiasi gani? unazijua procedure za kufanya research? mpaka useme Muslims wengi wanamsapoti maduro?
 
nimeandika hivyo kwa maana sijaelewa bado ''udini'' maana yake nini? i mean, mpaka uko wapi? ni nini ni ''udini'' na kipi siyo ''udini''? ...
 
nimeandika hivyo kwa maana sijaelewa bado ''udini'' maana yake nini? i mean, mpaka uko wapi? ni nini ni ''udini'' na kipi siyo ''udini''? ...
Ndio maana nimekwambia kua unatatizo kubwa japo hujaligundua tu.

Najua umenielewa but you're just trying to run from yourself which it's impossible.
 
Siku mbili baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kutoka Ikulu ya nchi hiyo mjini Caracas, maelfu ya wafuasi wake wameingia mitaani kulaani tukio hilo.

Tukio la kukamatwa Maduro na mkewe na kisha kupelekwa Marekani kujibu madai ya kufadhili mtandao wa kuuza dawa za kulevya, limesababisha mgawanyiko mkubwa nchini Venezuela.

Soma: Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Wale walioshuhudia ukandamizaji wa utawala wa Maduro wamefurahia kilichotokea huku wafuasi wa kiongozi huyo wakilaani vikali kukamatwa kwake.

Wange jaa hivi kuwazuia wanyakuaji wasimnyakue maana hawakuwa wengi kama wao.
 
Back
Top Bottom