Kama sababu ya Maduro kutekwa na Marekani ni madawa ya kulevya? Kwanini mlalamikiwa mkubwa kuhusu athari za madawa ya kulevya Marekani ambaye ni China Rais wao Xi Jinping mpaka sasa hajatekwa kwenda U.S kujibia mashitaka yake?
Siku mbili baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kutoka Ikulu ya nchi hiyo mjini Caracas, maelfu ya wafuasi wake wameingia mitaani kulaani tukio hilo.
Tukio la kukamatwa Maduro na mkewe na kisha kupelekwa Marekani kujibu madai ya kufadhili mtandao wa kuuza dawa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.