Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Your browser is not able to display this video.
 

Wapi Yesu Alikuambia umfuate yeye , usimpakazie Yesu
 
Kwani Sharia Law ndio
Uislamu?
Ninavyojua Uislamu imeandikwa kwenye Qurani nje ya hapo ni tamaduni za watu tu.
Ni Sheria za zama za Giza.
Kulazimisha watu waishi kama tamaduni za Waarabu.
Sharia law ndio kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…