FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu Kristo anakaribia kurudi
Kama bado hujamwamini amua Sasa kwa ajili unyakuo wa kanisa lake huku ulimwenguni
Kinachotupeleka mbinguni sio Dini ya kikirsto wa kiislamu Bali Kumwamini Yesu Kristo moyoni Mwako binafsi
Hao Kama ni raia halali wa uingereza wa uingireza wanahaki ya kudai haki zao
Na washika Dini ya kikirsto wataitisha nao maandamo ya christian nationalism Kama Usa,
MWISHO ni vurugu hapo katikati
Ukiona nchi ambayo illikuwa ya kidini Tena na chama Cha kikristo ikiangukia kwenye Hali Kama hii ni Dalili
Usiitegemee Dini yako kukupeleka mbinguni Bali Amini njia ya kweli na uzima Yesu Kristo

Sharia law ndio kitu gani?Kwani Sharia Law ndio
Uislamu?
Ninavyojua Uislamu imeandikwa kwenye Qurani nje ya hapo ni tamaduni za watu tu.
Ni Sheria za zama za Giza.
Kulazimisha watu waishi kama tamaduni za Waarabu.