Yani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo
Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East
Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
Wahenga walisema: "
Familiarity breeds contempt" kibongo-bongo unaweza kusema "
Mazoea huleta dharau".
Wale wakimbizi/wazamiaji waliopewa hifadhi kwa
Hisani tu ya ubinadamu, sio hawa kizazi cha leo kinacholeta mtafaruku. Waliokuja mwanzoni wengi wao walisha ondoka(RIP). Sasa hawa
Chakaram waliopo hawajui Historia iliyopita na wanadhani wazazi wao walikuwepo kihalali na kwa kuzaliwa huko nchi za watu na wameshakuwa ni wengi kundi kubwa, wanaona sasa ni halali kwao kudai haki na kushinikiza uwepo wa baadhi ya Taratibu na Desturi za huko walikotokea wazazi wao.
Wamezua tafrani Uingereza, Ufaransa n.k. eti Sharia.....
Naona ni vyema na ni Haki yao sasa warudishwe kwao ili wakajifunze zaidi namna na jinsi ya kuishi na watu wengine wenye Imani tofauti, Mila, Desturi na Taratibu tofauti zisizotaka matumizi ya kunakili
kichwa-kichwa kile kilichoandikwa kwenye kile kitabu chao maarufu.
Yani kosa lililofanywa na nchi zilizowapokea kwa huruma hao watu ni kutokutambua kwamba Watu hao waliopokelewa ni aina ya watu "
Handle with care" hawana shukrani hata kidogo.