Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Uislam mnavozidi kuupinga na kuuchukia na wenyewe unazidi kueneaaa ,,na hamna kitu mnafanya zaidi ya hasira tuh
Yeah ubaya unaenea kulko uzuri ,Wacha uenee na wote tuwe waisilamu alaf baadae tuunde vikundi vya kigaidi tuuane wote dunia ubaki Haina watu
 

What is Sharia ?​

Sharia is Islam's legal system.

It is derived from the Quran, Islam's holy book, as well as the Sunnah and Hadith - the deeds and sayings of the Prophet Muhammad.


Sharia isn’t the same as Islamic law. Muslims believe sharia refers to the perfect, immutable values understood only by God, while Islamic laws are those based on interpretations of sharia.

Corporal punishment. For certain crimes, such as theft, blasphemy, and adultery.

hudud punishments, which include stoning, lashing, and amputation.


FaizaFoxy , hizo adhabu kwa kutumia akili yako unahisi kweli ni maneno kutoka kwa Mungu na siyo utashi wa watu binafsi kulingana na mila na tamaduni zao??

FaizaFoxy, hii ya mwanamke kuongozana na mtu wa kiume anapotoka bado unahisi ni Mungu alitamka na siyo utashi wa watu??
 
Hawa jamaa wanatafua bikira za mabinti wa miaka 9 kwa nguvu sana .

Usiniulize kwanini? hiyo pia ni Sharia law, mtume ndiye muasisi alikamega katoto ka miaka9 .
 
Katiba ya Ujeruman inaruhusu sharia ya dini ya kiisilamu?
 
Zanzibar kuna wajomba zako wanataka bongo flavour ipigwe marufuku
Ukiona hivyo ujue kuna ka kikundi ka watu kameshatamani kuwa na nguvu ya kisiasa kupitia dini ili nao wafaidi keki ya taifa hata kama hawana elimu ya kuajiriwa au kuingia moja kwa moja kwenye mfumo.Imagine ujerumani iwe na Ayatollah anayemzidi nguvu waziri mkuu,kama walivyotaka kujipatia ajira za bure kwa mgongo wa serikali ya bongo kupitia mahakama ya kadhi
 
Badala ya kwenda uarabuni kuandamana wanaandamana ujerumani,uislamu ni kueneza chuki na uarabu tu hakuna jipya...Yani Bila uislamu Dunia ingekuwa mahali salama sana kuishi sema tu nawapenda kwenye kukataa mambo ya kizungu kama LGTBQ
Kwan yule afande LGTBQ wa Zanzibar naye ni mzungu? Mbona Zanzibar mpaka kweny shereh kubwa kubwa Hawa mashoga wanapewa nafas waimbe?
 
Wahenga walisema: "Familiarity breeds contempt" kibongo-bongo unaweza kusema "Mazoea huleta dharau".
Wale wakimbizi/wazamiaji waliopewa hifadhi kwa Hisani tu ya ubinadamu, sio hawa kizazi cha leo kinacholeta mtafaruku. Waliokuja mwanzoni wengi wao walisha ondoka(RIP). Sasa hawa Chakaram waliopo hawajui Historia iliyopita na wanadhani wazazi wao walikuwepo kihalali na kwa kuzaliwa huko nchi za watu na wameshakuwa ni wengi kundi kubwa, wanaona sasa ni halali kwao kudai haki na kushinikiza uwepo wa baadhi ya Taratibu na Desturi za huko walikotokea wazazi wao.
Wamezua tafrani Uingereza, Ufaransa n.k. eti Sharia.....
Naona ni vyema na ni Haki yao sasa warudishwe kwao ili wakajifunze zaidi namna na jinsi ya kuishi na watu wengine wenye Imani tofauti, Mila, Desturi na Taratibu tofauti zisizotaka matumizi ya kunakili kichwa-kichwa kile kilichoandikwa kwenye kile kitabu chao maarufu.
Yani kosa lililofanywa na nchi zilizowapokea kwa huruma hao watu ni kutokutambua kwamba Watu hao waliopokelewa ni aina ya watu "Handle with care" hawana shukrani hata kidogo.
 
Hizo Nchi za Kikristo ndio zimeenda kuvamia Nchi za kiislam
 
Ndio mle na kitimoto
Kwani hawali kitimoto hawa?? Hasa hawa wabongo, hawa wenzetu tu sema wanazuga ili vimisaada vya tende viendelee kuja toka kwa akina ami wa arabuni, ila ukiwakuta chimbo wanafakamia sana kitimoto, pombe ndo kabisaa wanapeleka kama chai
 
Iman yao ndo
Inavyotaka.. kuwa nenden kwa
Makafir the makatawale. Kwa sharia law.. hao vya kwao vya kwao na vya kwenu vya kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…