Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Kwa nini unadanganya watu wewe Madam. Kwa kuwa elimu yenu ni ya madrassa ndio maana unaongea huo upuuzi. Wewe uliolewa ukiwa na miaka mingapi.
Nilipobalehe tu.

Muulize mamako swali hilo, kama aliwahi kuolewa.
 
The human rights policy that has been promoted by the western world has basically paralyzed their countries and as a result the terrorists are looking for a way to justify their terrorism under the pretext of the freedom of worship.
Andika Kiswahili, lugha safi kabisa iliyotokana na Kiarabu. Usiwe mtumwa wa wazungu.
 
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.

I have no words, video inajieleza!

Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

Wajerumani wanataka wawaondoe waislam hivyo wametengeneza propaganda
 
Hili swali hata halihitaji nguvu nyingi.
Kwenye nchi za kiislamu, hakuna sharia, ila wao wanaokimbia huko makwao na kukimbilia kwa makafiri wanataka iwepo sharia!!

Naomba kujua orodha ya nchi za kiislamu zenye hii sharia na wananchi wake wangapi wamekimbilia kwa makafiri.

Dini ni kilevi ila kuna hii dini ya kigaidi na kishetani kama alivyoandika Salmanie Rushdie kwenye Satanic Verses ni kimelevya vibya sana waumini.
 
Wapelekwe IRAN,na Palestina kwa HAMAS, na huko kwa HEZBOLLAH wakasaidie.
Wakizidi fujo wafanyiwe deportation.
 
Huoni sura zao?.
Ndugu yangu unasahau kuwa kuna photshop? Tena siku hizi kuna AI Photoshop, anakuwekea picha utaakavyo iwe.

Zamani tulishaletewa picha mpaka za video zikioneshaviongozi wanaliwa. Umesahau? Ilikuwa kweli ile?

Ukitaka kujuwa hiyo picha ni propaganda za kijinga tu ilete chanzo chake.
 
uzuri wazungu ukiwasumbua sana wanamalizana nawewe ktk namna isiyoeleweka!.
 
Yani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo

Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East

Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
Umekosea mkuu, wanapaswa kuuliwa wote na kupigwa ban kuingia hizo nchi, wakristu tumezidisha upole
 
Duuuuh!!!
Ya kufuata ushetani?
Unaonesha huujuwi Uislam na umedanganywa sana kuhusu Uislam. Tazama Qur'an inatufunza nini:

Qur'an 16:98 Na pindi ukitaka, ewe Muumini, kusoma chochote katika Qur’ani, basi jilinde kwa Mwenyezi Mungu na Shari la Shetani aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu kwa kusema, «A'ūdhu bi- Llāhi min ash-Shayttān ar-Rajīm»(Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na Shetani Aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu).
— Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
 
german-girls-love-beer.jpg

Tamasha la kunywa Beer huko Hamburg Germany.

Mnataka kuwapekea Sheria za Kijinga za Ilmu ya kesho Kiama😁

Eti Waswali sana wakishakufa ndio watakunywa Beer huko Peponi?!

Wajerumani ni Watu Smart kamwe hamuwawezi.

Na ni Watu waluosoma sana hawadanganyiki kirahisi na Story za Mzee wa Kiarabu aliyeishi Jangwani karne ya Saba.
 
Wawafurumushe wakimbilie uarabuni kuliko na sharia wanayoitaka
 
Back
Top Bottom