Andika Kiswahili wachana na kopi na pesti hizo za wajinga wajinga.
Usiwe kondoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika Kiswahili wachana na kopi na pesti hizo za wajinga wajinga.
Usiwe kondoo.
Hata sijuwi umebandika nini, sina muda wa kufata links nisizozijuwa.
Ujinga!Uislam popote.
Si wayarudishe yalikotoka?Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.
I have no words, video inajieleza!
Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’
Yaani wahaamiaji wanataka hawa kinadada wavae Yale mavazi Yao ya kufunika mwili mzima wakati watu wameshazoea kujiachia! Wakapimwe ubongo hao wahamiaji. Na hapa ndipo nakubaliana na sera za Trump. Ukiona hauwezi kuendana na desturi za eneo husika, Baki kwenu.View attachment 3125049
Tamasha la kunywa Beer huko Hamburg Germany.
Mnataka kuwapekea Sheria za Kijinga za Ilmu ya kesho Kiama😁
Eti Waswali sana wakishakufa ndio watakunywa Beer huko Peponi?!
Wajerumani ni Watu Smart kamwe hamuwawezi.
Na ni Watu waluosoma sana hawadanganyiki kirahisi na Story za Mzee wa Kiarabu aliyeishi Jangwani karna ya Saba.
ni bora kwa macho yako na sio macho ya wengine, kama ni culture bora kuliko zingine si hao wengine wote wangeifuata? je kuna mtu ambae hapendi kufuata au kupata kile kilicho bora zaid?Hakuna culture bora duniani zaidi ya Uislam.
Nakushangaa wewe, siyo hao wengine.ni bora kwa macho yako na sio macho ya wengine, kama ni culture bora kuliko zingine si hao wengine wote wangeifuata? je kuna mtu ambae hapendi kufuata au kupata kile kilicho bora zaid?
Whatever the decision you make but the link stands.Hata sijuwi umebandika nini, sina muda wa kufata links nisizozijuwa.
kilicho bora always kinafuatwa bila kipingamizi chochote we ajuza... kabla hujanishangaa mimi unatakiwa kwanza ukishangae hicho ambacho unakisema ni bora kuliko vyote na kinalindwa kwa upangaNakushangaa wewe, siyo hao wengine.
Unangoja nini?
Wanajua ni pabaya na kuna Sheria za kishenzi sana.Kwanini hawaendi kwenye nchi za Kiislam?
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.
I have no words, video inajieleza!
Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’
Unaona watu wa mudi majanga ambayo wanaleta kwa wengine. Kwa hiyo wanalazimisha uislam yaani, kile chombo cha kueneza utamaduni wa kiarabu kitaasisishwe katika ulimwengu wa magharibi.Uislam popote.
Uongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.
Hakuna culture bora duniani zaidi ya Uislam.
hayo siyo yangu, jionee anasema nani:kilicho bora always kinafuatwa bila kipingamizi chochote we ajuza... kabla hujanishangaa mimi unatakiwa kwanza ukishangae hicho ambacho unakisema ni bora kuliko vyote na kinalindwa kwa upanga
Baby achana nae huyo Kafiri.Swali lipi?
Uislam hauna mipaka, ama uukubali ama uukatae. Hulazimishwi.
Tulijitahidi hata kutumia Google Translation kumsihi Chancellor Angel Mercel aachane na hawa wakimbizi fake wakatudharau. Sasa ndiyo wamejua hawajui. Muda si mrefu wataanza kuonyesha wakiwachinja wenyeji.
Wewe pia kuna muda akili huwa zinakutoka, jiuliwe wewe ni warabu? Au huo ujinga wenu hujui kuwa umetoka kwa waarabu! Jaribu kujipa thamani wewe kama wewe na siyo hayo majitu. Mbona ni mzee na una elimu lakini unajifana kama Lucas Mwashambwa