Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Dah......! Halafu wachawi ambao si wakazi wa Goma wanawalalamikia wapigania ukombozi wa M23, huo umati it's an indication of their support otherwise wasingeenda hapo uwanjani.Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
View attachment 3227121
Huo wimbo mjeda anaoimba ni mzuri. Yani nimeburudika.
Huo wimbo mjeda anaoimba ni mzuri. Yani nimeburudika
Hujanielewa lengo la kuuweka. Hao 23 ndio wameuimba mara tuu baada ya kuitwaa Goma na ni wimbo rasmi ya jeshi la Rwanda . Ukitumia syllogism RUANDA =M23Huo wimbo mjeda anaoimba ni mzuri. Yani nimeburudika
Nimekupata mkuuHujanielewa lengo la kuuweka. Hao 23 ndio wameuimba mara tuu baada ya kuitwaa Goma na ni wimbo rasmi ya jeshi la Rwanda . Ukitumia syllogism RUANDA =M23
Was 1996 hiyoHuo wimbo mjeda anaoimba ni mzuri. Yani nimeburudika.
Wanautumia mpaka Leo jeshini Rwanda. Nimeweka kuonyesha kuwa ama m23 wamepata mafunzo nchini Rwana au ni sehemu ya kikosi Cha Rwanda ndio maana wameuimba wimbo huo baada ya kuitwaa Goma. Ni wimbo unaotumika kwa hamasa na kuwajengea uzalendo vijana wa rwandaWas 1996 hiyo
Hizi ndo mambo za Africa, wazungu wanafurahi sana kuona haya
Aisee, copy and paste.