Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

Wakati mwigine ni vigumu watu kukuelewa ulivyo kuwa wired upstairs by your MAKER!! Muda wote una overwhelm JF international server folder na adithi za kitoto toto tu - hata ujishitukii, mfano ukilinganisha source anazo ziquote akalingaisha a tafsiri zako za ku- exaggerate mambo vinaonekana ni vitu viwili tofauti kama Mbingu na Dunia.

Sasa maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi kwao, mziki umegeuzwa nyumbani...wacha hasira ustadh mtakoma tu.
Hii nyingine ya kukupa hasira Ukraine blows up part of one of Russia’s most advanced air defense system
 
Bila shaka hapo ndipo utaelewa hoja ya Russia kuwa Ukraine asijiunge na NATO, maana yake ni kuwa usalama wa Urusi utakuwa hatarini iwapo Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Vv
Ujinga wa Russia wa kutaka kujitanua ndio itawafanya wasiwe na imani Ukraine ikijiunga na Nato kwani Nato hawatakubali huu upumbavu.
 
Njia pekee kuisha hii vita ni kama Ukraine ataweza kuhamishia vita Urusi, ikibidi pale Moscow kabisa.
 
Bila shaka hapo ndipo utaelewa hoja ya Russia kuwa Ukraine asijiunge na NATO, maana yake ni kuwa usalama wa Urusi utakuwa hatarini iwapo Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Vv
Ukiitwa mpumbavu usiseme umeonewa.
 
Kumbe ukraine akipigwa makombora usalama wa urusi upo sawa, lakini ukraine akigawana maumivu na russia hapo usalama wa urusi unakuwa mashakani. Usalama wa urusi ni kuachana na nchi ya watu. Bwege ameshtuka anataka haki yake kwa vyovyote, huwezi kumnyamazisha kwa kumziba mdomo lazima Crimea irudi ukraine ili urusi iwe na amani. Subirini kimbunga kinachokuja siku chache zijazo.
Hakuna counter offensive iliyofanywa na Ukraine ikakosa matokeo chanya. Hii ya awamu hii inaweza ikafanya Ukraine akarejesha eneo kubwa zaidi na zaidi kuliko ilivyofikiriwa.
 
Njia pekee kuisha hii vita ni kama Ukraine ataweza kuhamishia vita Urusi, ikibidi pale Moscow kabisa.
Upo sahihi kiongozi, mzigo ukipigwa hapo Russia hakika juhudi za kutafuta amani zitapatikana.
 
Well said,be blessed - swali hapa ni,je, ni wangapi wanalichukulia seriously Urusi inapo weka wazi their concern kuhusu usalama wa taifa lao pindi Ukraine ikijiunga na NATO.

Angalia kinacho endelea hivi sasa huko Ukraine which goes to proves that Putin concerns about his Nation's security was right all along
Aliivamia Ukraine hata kabla haijanza fikiria kujiunga na NATO hlf kama Putin anapenda amani kwann asingerekebisha yale yaliyomlazim Ukraine kutaka kujiunga na umoja wa Ulaya sio NATO maana Ukraine haijawai tuma maombi NATO
 
Back
Top Bottom