Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

Sasa maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi kwao, mziki umegeuzwa nyumbani...wacha hasira ustadh mtakoma tu.
Hii nyingine ya kukupa hasira Ukraine blows up part of one of Russia’s most advanced air defense system
 
Bila shaka hapo ndipo utaelewa hoja ya Russia kuwa Ukraine asijiunge na NATO, maana yake ni kuwa usalama wa Urusi utakuwa hatarini iwapo Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Vv
Ujinga wa Russia wa kutaka kujitanua ndio itawafanya wasiwe na imani Ukraine ikijiunga na Nato kwani Nato hawatakubali huu upumbavu.
 
Njia pekee kuisha hii vita ni kama Ukraine ataweza kuhamishia vita Urusi, ikibidi pale Moscow kabisa.
 
Bila shaka hapo ndipo utaelewa hoja ya Russia kuwa Ukraine asijiunge na NATO, maana yake ni kuwa usalama wa Urusi utakuwa hatarini iwapo Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Vv
Ukiitwa mpumbavu usiseme umeonewa.
 
Hakuna counter offensive iliyofanywa na Ukraine ikakosa matokeo chanya. Hii ya awamu hii inaweza ikafanya Ukraine akarejesha eneo kubwa zaidi na zaidi kuliko ilivyofikiriwa.
 
Njia pekee kuisha hii vita ni kama Ukraine ataweza kuhamishia vita Urusi, ikibidi pale Moscow kabisa.
Upo sahihi kiongozi, mzigo ukipigwa hapo Russia hakika juhudi za kutafuta amani zitapatikana.
 
Aliivamia Ukraine hata kabla haijanza fikiria kujiunga na NATO hlf kama Putin anapenda amani kwann asingerekebisha yale yaliyomlazim Ukraine kutaka kujiunga na umoja wa Ulaya sio NATO maana Ukraine haijawai tuma maombi NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…