matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
big upBara bara za mitaani zimewekwa lami na taa . Hii naongelea maeneo ya Yombo vituka
na shinyanga mjini pia nilipita nikaona zinatundikwa zile za solar.Huku kwetu Ruangwa taa za barabarani.
du!! siku hizi huko kuna lami?Barabara ya lami na taa za barabarani 77 - Kiseke to Buswelu
Ukumbuke kusema hizo ni hela za World Bank chini ya mradi wa DMDP.Bara bara za mitaani zimewekwa lami na taa . Hii naongelea maeneo ya Yombo vituka
Mbunge wako nani?Kwetu kwa kweli hamna.
Ila wamepeleka mhudumu mmoja wa afya zahanati, mradi wa zahanati umetumia zaidi ya miaka kumi mpaka kuanza kutumika.
na kukamilisha uwekaji wa umeme(mradi unaendelea, wananchi wako wanafanya wiring.) Umeme ni mradi ambao una zaidi ya miaka saba mwaka huu ndio wanakamilisha.
Na kuwekewa karavat badala ya daraja.
Na kuboresha ofisi ya kijiji. (Hili huwa kila mwaka huwa wanaweka)
Maji hakuna na barabara mbovu.
Walimu wachache shule ya msingi na nyumba za kukaa walimu hazikidhi.
Upimaji wa viwanja haujawahi fanyika.
Nina hasira sana na serikali. Ni kama imetusahau. [emoji34][emoji35]
sisi maji yanakaribia sana mkuu bado kidogo tu maana jirani wananufaika.Kwetu kwa kweli hamna.
Ila wamepeleka mhudumu mmoja wa afya zahanati, mradi wa zahanati umetumia zaidi ya miaka kumi mpaka kuanza kutumika.
na kukamilisha uwekaji wa umeme(mradi unaendelea, wananchi wako wanafanya wiring.) Umeme ni mradi ambao una zaidi ya miaka saba mwaka huu ndio wanakamilisha.
Na kuwekewa karavat badala ya daraja.
Na kuboresha ofisi ya kijiji. (Hili huwa kila mwaka huwa wanaweka)
Maji hakuna na barabara mbovu.
Walimu wachache shule ya msingi na nyumba za kukaa walimu hazikidhi.
Upimaji wa viwanja haujawahi fanyika.
Nina hasira sana na serikali. Ni kama imetusahau. [emoji34][emoji35]
Ni wa CCM Ila sasa hajapita kura za maoni.Mbunge wako nani?
Heri yenu!sisi maji yanakaribia sana mkuu bado kidogo tu maana jirani wananufaika.
mkuu umekunywa nini asubuhi jamaa yangu.Ndege za ATCL zinatua kila kijiji fraiova kila makutano ya barabara,Meri kila kijiji,maji,treni ya mwendo Kasi vyote tumepata kila kijiji,hongera awamu ya tano,hatuna sababu ya kufanya uchaguzi katika kipindi cha miaka 30 ijayo,aliyepo anatosha na matatizo yetu yote yameisha.kila kijiji atakacho tembelea tutampa zawadi za majogoo hadi achoke,tunamuomba awe anatembea na gali lenye kontena ili tuyajaze makontena.
Utakuwa unatoka jimbo la Suleiman bungala (bwege)Kwetu kwa kweli hamna.
Ila wamepeleka mhudumu mmoja wa afya zahanati, mradi wa zahanati umetumia zaidi ya miaka kumi mpaka kuanza kutumika.
na kukamilisha uwekaji wa umeme(mradi unaendelea, wananchi wako wanafanya wiring.) Umeme ni mradi ambao una zaidi ya miaka saba mwaka huu ndio wanakamilisha.
Na kuwekewa karavat badala ya daraja.
Na kuboresha ofisi ya kijiji. (Hili huwa kila mwaka huwa wanaweka)
Maji hakuna na barabara mbovu.
Walimu wachache shule ya msingi na nyumba za kukaa walimu hazikidhi.
Upimaji wa viwanja haujawahi fanyika.
Nina hasira sana na serikali. Ni kama imetusahau. [emoji34][emoji35]
Ukumbuke kusema hizo ni hela za World Bank chini ya mradi wa DMDP.
Hamchelewi kusema ni hela za Jamaa flani hivi.