matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #21
hahaha haUtakuwa unatoka jimbo la Suleiman bungala (bwege)

Hahahaha, alikuwa wa CCMUtakuwa unatoka jimbo la Suleiman bungala (bwege)
Msimpe tena huyo hata akirudiNi wa CCM Ila sasa hajapita kura za maoni.
mkuu mbona fedha huwa tunasikia zimetengwa na watu wanasema huko nyakanazi kuelekea kigoma ujenzi unaendelea.Kugoma ndio mkoa haujaunganishwa kwa barabara za Lami Na mikoa mengine pia huduma ya Meli ziwa Tanganyika imesimama kwa miaka4 tukisbiri ukarabati hali ya kuwa Victoria zinatengenezwa mpya
Mkuu nimekula ugali wa Tarime na supu ya Sato,kwa hiyo nipo timamu kabisa,nimesafili vijiji vingi sana na nimeona wametekeleza ahadi zote walizoahidi kwa asilimia 💯,kwa hiyo sisi wanyonge hatuna kelo yoyote ile.mkuu umekunywa nini asubuhi jamaa yangu.
Mtaani au kijijini kwako sio AIRPORT AU ROUND ABOUT
hahaha pamoja sana mnyonge mwenzzaMkuu nimekula ugali wa Tarime na supu ya Sato,kwa hiyo nipo timamu kabisa,nimesafili vijiji vingi sana na nimeona wametekeleza ahadi zote walizoahidi kwa asilimia 💯,kwa hiyo sisi wanyonge hatuna kelo yoyote ile.
Utakua Chattle si bure1: Daraja lililokuwa hitaji kubwa kwa wananchi.
2: Kukamilishwa kwa Barabara ya lami.
3: Kupimiwa viwanja mtaa mzima na kupewa mawe (mchakato endelevu).
4: Ujenzi wa barabara mpya ya lami ambayo itafungua kabsa kijiji chote.
5: Ununuzi wa kiwanja cha shule mpya ya serikali.
6: Ufunguzi wa Hospitali kwa ajili ya waze na matibabu ya emergency ( ni private).
7: Shule za awali za private kama nne hivi.
8: Soko jipya na tayari wananchi ndio kipaumbele ambalo bado liko kwenye pipe line.
9: ongezeko la route ya dadadala ambapo zamani tulikuwa tunatumia hadi 1200 kwenda kusaka fwedha jijini sasa ni 600 tu.
10: Ongezeko la makanisa na misikiti hivyo watu wengi kusilimu na kuokoka hivyo kupunguza uarifu.
11: Kwa mara ya kwanza awamu hii gari la polisi la patroo mara moja moja huonekana likipita mitaani kudumisha ulinzi na usalama.
12: Chili ya serikali ya mtaa watu wa fumigation hupita mtaani kwa ghalama ya 1000 hd 2000 kwa kuzuia maambukizi vyooni.
13: Kumekuwa na ongezeko la maduka, malls na supermarkets na flames nyingin za biashara.
14: Vituo vya mafuta viwili vikubwa na cha tatu kinakuja.
Haya ni machache tu niliyoyakumbuka kwa harakaharahaka.
Vipi huko mtaani/kijijini kwako nini kipya kimeongezeka kama ishara ya maendeleo kuanzia 2015 hadi 2020?
hahaha kijiji changu kiko DSM jimboni kwa mwanadada Bona.Utakua Chattle si bure
Mtu ataje na mbunge wake au eneo husika tuweze kujua , uzi mzuri lakini utakosa umakini.!sisi maji yanakaribia sana mkuu bado kidogo tu maana jirani wananufaika.
Bonnah Kaluwa. Jimbo la segerea, CCM ni mwananchi tu wa eneo lake la ubunge na nilichosema ni ukweli na sikumpigia wala sitapiga kura mkuu kwa sababu zangu binafsi.Mtu ataje na mbunge wake au eneo husika tuweze kujua , uzi mzuri lakini utakosa umakini.!
DMDPBara bara za mitaani zimewekwa lami na taa . Hii naongelea maeneo ya Yombo vituka
Kila baada ya Mvvua kuharibu miundombinu. Grader hupita kunyoosha njjia nyingi tu za mitaaniNiseme tu pongezi kwa.serikali japo sio kwa kila jambo wako sahihi, au sio kwamba kuwepo kwa aina hii ya serikali haya yasingefanyika la!
Kwenye kata yetu kumejengwa shule mpya ya msingi, upanuzi wa wa zahanati ya kata na karibu kuwa kituo cha afya. Barabara za mitaa walao zimechongwa na madaraja korofi ya mejengwa na mengine mengi yalio saizi ya kata zetu. Hii ni bunju dar es laam.
Kijiji chako ni chato wewe.1: Daraja lililokuwa hitaji kubwa kwa wananchi.
2: Kukamilishwa kwa Barabara ya lami.
3: Kupimiwa viwanja mtaa mzima na kupewa mawe (mchakato endelevu).
4: Ujenzi wa barabara mpya ya lami ambayo itafungua kabsa kijiji chote.
5: Ununuzi wa kiwanja cha shule mpya ya serikali.
6: Ufunguzi wa Hospitali kwa ajili ya waze na matibabu ya emergency ( ni private).
7: Shule za awali za private kama nne hivi.
8: Soko jipya na tayari wananchi ndio kipaumbele ambalo bado liko kwenye pipe line.
9: ongezeko la route ya dadadala ambapo zamani tulikuwa tunatumia hadi 1200 kwenda kusaka fwedha jijini sasa ni 600 tu.
10: Ongezeko la makanisa na misikiti hivyo watu wengi kusilimu na kuokoka hivyo kupunguza uarifu.
11: Kwa mara ya kwanza awamu hii gari la polisi la patroo mara moja moja huonekana likipita mitaani kudumisha ulinzi na usalama.
12: Chili ya serikali ya mtaa watu wa fumigation hupita mtaani kwa ghalama ya 1000 hd 2000 kwa kuzuia maambukizi vyooni.
13: Kumekuwa na ongezeko la maduka, malls na supermarkets na flames nyingin za biashara.
14: Vituo vya mafuta viwili vikubwa na cha tatu kinakuja.
Haya ni machache tu niliyoyakumbuka kwa harakaharahaka.
Vipi huko mtaani/kijijini kwako nini kipya kimeongezeka kama ishara ya maendeleo kuanzia 2015 hadi 2020?
Nimecheka kwa hasiraNdege za ATCL zinatua kila kijiji fraiova kila makutano ya barabara,Meri kila kijiji,maji,treni ya mwendo Kasi vyote tumepata kila kijiji,hongera awamu ya tano,hatuna sababu ya kufanya uchaguzi katika kipindi cha miaka 30 ijayo,aliyepo anatosha na matatizo yetu yote yameisha.kila kijiji atakacho tembelea tutampa zawadi za majogoo hadi achoke,tunamuomba awe anatembea na gali lenye kontena ili tuyajaze makontena.
Tumeambiwa kuna ujenzi wa flyover huko Dsm.1: Daraja lililokuwa hitaji kubwa kwa wananchi.