Maendeleo gani mapya mmepata kijijini/mtaani kwenu kati ya 2015 hadi leo 2020?

Kugoma ndio mkoa haujaunganishwa kwa barabara za Lami Na mikoa mengine pia huduma ya Meli ziwa Tanganyika imesimama kwa miaka4 tukisbiri ukarabati hali ya kuwa Victoria zinatengenezwa mpya
 
Kugoma ndio mkoa haujaunganishwa kwa barabara za Lami Na mikoa mengine pia huduma ya Meli ziwa Tanganyika imesimama kwa miaka4 tukisbiri ukarabati hali ya kuwa Victoria zinatengenezwa mpya
mkuu mbona fedha huwa tunasikia zimetengwa na watu wanasema huko nyakanazi kuelekea kigoma ujenzi unaendelea.
 
mkuu umekunywa nini asubuhi jamaa yangu.
Mtaani au kijijini kwako sio AIRPORT AU ROUND ABOUT
Mkuu nimekula ugali wa Tarime na supu ya Sato,kwa hiyo nipo timamu kabisa,nimesafili vijiji vingi sana na nimeona wametekeleza ahadi zote walizoahidi kwa asilimia 💯,kwa hiyo sisi wanyonge hatuna kelo yoyote ile.
 
hahaha pamoja sana mnyonge mwenzza
 
Utakua Chattle si bure
 
Utakua Chattle si bure
hahaha kijiji changu kiko DSM jimboni kwa mwanadada Bona.
Ila sijui aliyesababisha maendeleo hayo ni Yeye, JPM, Diwani au imetokea tu kama natural selection Maana sikuwa nafuatilia nimeamka tu leo uchaguzi umekaribia nikasema nipime kidogo maendeleo hapa mtaani
 
Kwetu;

Mfumo wa maji hadi nyumbani
Umeme wa REA

Hivi ndio mabadiliko ya kimaendeleo yaliyoletwa na serikali hivyo kuchochea shughuli nyingine zianze hasa zinazohitaji umeme na hivyo kuchangamsha mtaa
 
Niseme tu pongezi kwa.serikali japo sio kwa kila jambo wako sahihi, au sio kwamba kuwepo kwa aina hii ya serikali haya yasingefanyika la!

Kwenye kata yetu kumejengwa shule mpya ya msingi, upanuzi wa wa zahanati ya kata na karibu kuwa kituo cha afya. Barabara za mitaa walao zimechongwa na madaraja korofi ya mejengwa na mengine mengi yalio saizi ya kata zetu. Hii ni bunju dar es laam.
 
Kila baada ya Mvvua kuharibu miundombinu. Grader hupita kunyoosha njjia nyingi tu za mitaani
 
Kijiji chako ni chato wewe.
 
Nimecheka kwa hasira
 
Tumeambiwa kuna ujenzi wa flyover huko Dsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…