johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.
Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara ya kisasa kama Japan ya Mwenge hadi Morocco.
Tunawashukuru sana CCM kwa uzalendo wenu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani mwanzo stendi ilikuwa wapi bwashee?!Makumbusho wanahakishaje stand wakati watu tumewekeza pale.
Pia wanawkaje stand mwenge karibu na mataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujenzi wa stendi ya kisasa ni ushabiki bwashee?!!
Huwezi kuitofautisha CCM na serikali bwashee!..lilijengwa enzi za chama kushika hatamu.
..hilo lilipaswa kuwa mikononi mwa serikali siyo ccm.
Huwezi kuitofautisha CCM na serikali bwashee!
Ile ya makumbusho ni ya mwekezaji binafsi na hii ya Mwenge ni ya serikali bwashee!Da this country bwana stand ya mwenge ilikarabatiwa ikavunjwa ikajengwa makumbusho nao mwenge Tena? Hivi hii miradi haiko planned watu wanakurupuka tu?Ni kupoteza pesa za walipa Kodi tu
Ulilazimishwa au ilikuwa ni hiyari?!
Sheria ipi?..Ni kinyume na katiba na sheria zetu.
Sheria ipi?
Fafanua Tafadhali!
Sheria ya vyama vya siasa!..tueleze wewe ni sheria ipi inaelekeza kwamba ccm ndiyo serikali.
Kifungu gani?Sheria ya vyama vya siasa!