Sheria ya vyama vya siasa!
..asante.
..basi tunapishana tafsiri ya sheria za vyama vya siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ya vyama vya siasa!
Uliza uambiwe.Ulilazimishwa au ilikuwa ni hiyari?!
Ili kupisha ujenzi Wa nini tena?Kuonesha uzalendo ile ya Ufipa nayo ivunjwe.
Hata kituo maalum kwa ajili ya kupambana na korona.
Kashabikia wapi? Au kusema ukweli kuwa jengo la CCM Mwenge linalizidi hadhi jengo la Makao Makuu ya Chadema ndio ushabiki? Si mjenge ofisi kama hamtaki ushabiki?
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.
Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara ya kisasa kama Japan ya Mwenge hadi Morocco.
Tunawashukuru sana CCM kwa uzalendo wenu.
Maendeleo hayana vyama!
Ile ya makumbusho ni ya mwekezaji binafsi na hii ya Mwenge ni ya serikali bwashee!
Ilisema stendi inahamishwa kwa muda kupisha ujenzi wa barabara!Mwanzoni unakumbuka serikali ya fisiemu ilisemaje juu ya stand ya Mwenge kabla ya kuihamisha?
Sent using Jamii Forums mobile app