Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

Maendeleo yana vyama, mimi naishi jimbo la upinzani na eneo hilo swala la maji ni changamoto jimbo linaloongozwa na ccm kuna maji yakutosheleza wakazi wake, sasa kwanini jimbo nalotokea liwe na uhaba wa maji na jimbo lingine maji yawe yakutosha na kinachotutenganisha jimboni ni mpaka..

maendeleo yana vyama
 
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.

Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara ya kisasa kama Japan ya Mwenge hadi Morocco.

Tunawashukuru sana CCM kwa uzalendo wenu.

Maendeleo hayana vyama!

Kwel kabisa maendeleo hayana chama kata nzima inaimba magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom