Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia.
Watu kama hawa ni hadhina kubwa kwa nchi. Hata Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Si busara tukasubiri hadi wapate uraisi ndiyo tuweze kufaidika na vipaji vyao kwani uraisi kamwe hawataweza kuupata, iwe jua au mvua haiwezekani. Tuwatumie kwa kuwateua kuwa mawaziri kwenye wizara walizonazo kipaji kama ilivyofanyika kwa James Mbatia ambaye hakuweza ku perform vizuri na hivyo kukosa uwaziri.