Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

Mnaodai katiba mpya, je inayotumika sasa imeisoma?
 
Hii imetulia na mkuu wa majeshi je atapatikana vipi? na IGP je? maana hawa ndio nyoka wenyewe.......
 
Hii imetulia na mkuu wa majeshi je atapatikana vipi? na IGP je? maana hawa ndio nyoka wenyewe.......
Swali zuri sana, Kereng'ende. Ila kwa mtizamo wangu nadhani Rais anaweza kuendelea kuteua hao watu (mkuu wa majeshi & IGP), kisha wakathibitishwa na Bunge. Nadhani pia kama wajibu wao utakuwa stipulated vema kwenye Katiba mpya kwa kuwabana wasijiingize kwenye ushabiki wa kisiasa, then mambo yatakuwa mdundo tu. But that's my opinion. Ndo' maana tunafanya hili zoezi ili kupata mawazo bora na mazuri. Maana tunaamini kuwa CCM, Chadema, CUF and whatever, hawana monopoly ya good ideas. Sijui wewe ungependa hao wakuu uliowataja hapo juu wapatikaneje? Tusaidie...
 
nshaiLIKE tayari!
Heshima yako mkuu, na asante kwa ku-like tayari! Nimekuona ndani ya nyumba lol

P.S. Bonus video toka kwa Nyerere: "Nchi haziongozwi kutokana na akili za mtu; nchi zinaongozwa kutokana na sheria/katiba."

 
Last edited by a moderator:
nishasaini tayari mkuu na nimeshare na walio karibu yangu. Come monday tutakuwa na signature kibao
 
Huwa wakiwa wametekeleza kazi ya kwanza ya kuamsha umma juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi chini ya dr slaa na mh. Mbowe. Wabunge hao new blood wamevamia majimbo yao na kundelea na kazi ya kuwatumikia wananchi-habari za uhakika,

1. Kutoka mbeya sugu auza rav 4 yake na kununua vitanda 150 kwa ajili ya wagonjwa na kuvikabidhi -mji mzima wa mbeya ni gumzo.

2. Kutoka kilombero regia mtema anaendelea na elimu ya uraia kuhusu kodi zisizo na tija kama ilivyofanyika singida baada ya somo la tundu lissu wanachi wakavamia vizuizi na kutupilia mbali

3. Kutoka mwanza wenje kawapanga madiwani kuliongoza jiji ili kuwa mfano baada ya miaka mitano-huku josephat manyerere akiwa mteule wa chadema kuchukua umeya dogo ana machungu huyo

4. Kutoka arusha mh lema anaweka mchakato sahihi na mahusiano bora na diwani wa tlp kuikamta arusha kama mfano mwingine

5. Kutoka makao makuu ya chadema waheshimiwa wameombwa kutengeneza workplan zao kutatua na kuibua hoja

jamani msishangae haya yote hayatangazwi ni amri nyingine kutoka kwa sultani mchakachuaji kwamba chadema isionekane kwenye media isipokuwa kwa yale negative tuu, isipokuwa mwanahalisi, raia mwema, mwnanachi na tanzania daima
 
Viva Chadema!! Go chadema Goooo!...maandalizi ya kutwaa dola 2015
 
Mkuu, unachosema ni kweli kabisa (wapinzani ni wengi kuliko nilvyowataja kwenye reply yangu). Lakini hilo ni jambo ambalo linaweza kupatiwa ufumbuzi mzuri kadiri hii debate inavyoendelea kuchanganyia. Binafsi, nadhani simple solution ni kutumia kigezo kinachotumika kutoa ruzuku ili kuwapata hao wawakilishi watatu toka kambi ya upinzani. Say, kwa mfano, Chadema mwaka huu kimepata 28% ya kura zote, then allocation ya wawakilishi kwenye tume tunayoizungumzia, izingatie hiyo perfomance pia. Kadhalika na kwa CUF and other political parties like TLP, DP, NCCR, UPDP, e.t.c. Anyway, hili ni suala ambalo pengine wataalamu wa sheria watahitajika kutupatia ushauri wa kisheria zaidi.

Wakulu,
Swali la kuandika katiba upya/mpya haliwezi kuachiwa vyama vya siasa na wataalamu. Katiba inamhusu lika raia wa nchi hii bila kujali imani au ushawishi wake. Hivyo basi ikifika tukakubaliana kuandika katiba mpya itahusisha kila mtu. Swali ni uwakilishi wa watanzania. Wazo langu ni 1) kwanza uteuzi wa tume huru ya kutathmini maoni ya watanzania, 2) uteuzi wa timu ya watalamu wa katiba, 3)watanzania kokote walipo kupewa fursa ya kutoa maoni yao kuhusu katiba wanayoitaka - bila ya kupewa mwelekezo wa aina yoyote, 4)tume huru ya katiba kuyapitia na ku-summarise maoni ya watanzania na kuyakabidhi kwa timu ya wataalamu wa katiba ili watengeze draft, 5)Draft irudishwe kwa watanzania kupata maoni yao (marekebisho), 6)Wataalamu wairekebishe draft kutokana na maoni ya watanzania, 7) Mwisho draft ipigiwe kura ya ndiyo au hapana. Baada ya hapa ndiyo draft ifike bungeni kupitishwa kama katiba mpya-sheria mama.
Nimejaribu sana kutoingiza vyama vya siasa au wabunge katika mzuguko huu mpaka mwishoni .
 
jamani msishangae haya yote hayatangazwi ni amri nyingine kutoka kwa sultani mchakachuaji kwamba chadema isionekane kwenye media isipokuwa kwa yale negative tuu, isipokuwa mwanahalisi, raia mwema, mwnanachi na tanzania daima
Wanafunika moto kwa blanketi.
 
Mkuu, Buchanan: I think suala la kuwapigia wakuu wa mikoa kura, is a very realistic thing. So far tunapiga kura za aina tatu kama sikosei: (a) Udiwani (b) Ubunge, and (c) Urais. Kama Diwani anayeongoza Kata anapewa umuhimu wa kupigiwa kura, iweje useme kuwa kumpigia mkuu wa mkoa kura ni jambo lisilowezekana? Binafsi, nadhani pendekezo la mkuu wa mkoa kupigiwa kura, ni pendekezo la muhimu zaidi ya hata ya lile la kuwapigia kura madiwani, na wabunge.

And here is why: Endapo kama katiba itabadilishwa ili wakuu wa mikoa wapigiwe kura, possibility ni kwamba, hao watakaojiotokeza kugombea hizo nafasi, watazunguka katika sehemu zote za mikoa yao na kujionea dhiki inayowakabili watu wa huko mikoani. On top of that, huyo mgombea atalazimika kutoa maelezo/sera ya jinsi atakavyotatua hizo dhiki. Wananchi wakiona kuwa mapendekezo yake/sera zake ni mazuri, then watamchagua.

Na wakishamchagua, kwa kuwa ametoa ahadi kuwa atafanya hiki na kile akichaguliwa; akishindwa kutimiza hizo ahadi, wananchi watakuwa na maswali ya msingi ya kumuuliza kwenye uchaguzi ujao: "uliahidi kutufanyia hiki na hiki, mbona hukufanya hivyo?" Hiyo itamlazimu atoa maelezo kwanini hakufanya hivyo. Wananchi wakilidhishwa n maelezo yake, basi watamchagua tena. Wasipolidhishwa, watamchagua mtu mwingine mwenye sera nzuri zaidi yake. And that's what we call accountability.

Plus, hili litapunguza tatizo lililopo hivi sasa, ambapo Rais (kwasababau zisizoeleweka), amelewa madaraka [saaaaana] ya kutupachikia wastaafu wa jeshi kuwa wakuu wetu wa wilaya na mikoa.

Maana ukweli ni kwamba, wastaafu hawa wajeshi [wengi wao]hawana vision wala strategies nzuri za kuendeleza mikoa yetu. Matokeo yake, nchi nzima inakuwa too concentrated in Dar and Dodoma. That's why hata vyama vyetu vya mageuzi (Chadema included), vinadhani Tanzania ipo Dar peke yake. No, Tanzania iko huko Mtwara na Kigoma pia.
Wakati nakubaliana na wazo lako la kupeleka madara karibu na wahusika (wananchi) ningependekeza utawala wa mikoa uondolewe kabisa. Ilivyo sasa tuna services mbili tu mkoani ambazo ni common kwa mkoa mzima, na hizo ni hospitali ya mkoa na barabara zinazounganisha wilaya. Zaidi ya hapa wanaobakia mkoani ni wapokeaji/wasukumaji wa taarifa kati ya wilaya na wizara. Tutaokoa fedha nyingi tukiondokakana na ili balaa la mikoa. Ukweli ni kwamba mkoloni alituachia Provincial Commisioner ambaye maana yake alikuwa personal rep wa governor. Na sisi tulilichukulia hivyo hivyo (kwa manufaa ya aliye madarakani) na tukakanyaga haki ya raia kujichagulia viongozi wake wa karibu. Kifupi tuwe na serikari kuu na serikari ya wilaya. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ndiye mkuu wa wilaya. Wilaya zilizopo ziamue kuungana kuendesha common services nilizozitaja hapo juu kama jukumu hili halitahudumiwa na serikari kuu.
 
kwa blanketi kavu:embarrassed:

tena lililo na petroli litalipuka pwaaaaaaaahhhhhhhhhhh, ngoja maendeleo physically yaonekane sijui watazuiaje raia, mara utasikia elimu bure, mwanza, mbeya, Arusha, n.k, wananchi in 2015 wenyewe watapiga kampeni CDM tunasubiri kuchua nchi, but by the time being let's fight Dowans, new constituition, na tume huru ya uchaguzi, these are pillars for development of TZ
 
Wakulu,
Swali la kuandika katiba upya/mpya haliwezi kuachiwa vyama vya siasa na wataalamu. Katiba inamhusu lika raia wa nchi hii bila kujali imani au ushawishi wake. Hivyo basi ikifika tukakubaliana kuandika katiba mpya itahusisha kila mtu. Swali ni uwakilishi wa watanzania. Wazo langu ni 1) kwanza uteuzi wa tume huru ya kutathmini maoni ya watanzania, 2) uteuzi wa timu ya watalamu wa katiba, 3)watanzania kokote walipo kupewa fursa ya kutoa maoni yao kuhusu katiba wanayoitaka - bila ya kupewa mwelekezo wa aina yoyote, 4)tume huru ya katiba kuyapitia na ku-summarise maoni ya watanzania na kuyakabidhi kwa timu ya wataalamu wa katiba ili watengeze draft, 5)Draft irudishwe kwa watanzania kupata maoni yao (marekebisho), 6)Wataalamu wairekebishe draft kutokana na maoni ya watanzania, 7) Mwisho draft ipigiwe kura ya ndiyo au hapana. Baada ya hapa ndiyo draft ifike bungeni kupitishwa kama katiba mpya-sheria mama.
Nimejaribu sana kutoingiza vyama vya siasa au wabunge katika mzuguko huu mpaka mwishoni .
Mkuu Adili, nimekupata. In fact, hicho ndicho precisely tunachokifanya hivi sasa. (i.e. kuwashirikisha wananchi wote mijini na vijijini katika zoezi hili). Ila inabidi tuwe realistic hapa kaka, wataalamu wa sheria/Katiba wana sehemu yao pia, ambayo ni kuyapiga msasa maoni tutakayoyatoa. And I don't think we should entirely dismiss them. Otherwise, nakubaliana 100% na kile ulichosema/andika. Thank you.
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani mbona yote hao hatuyasikii? yaani hata vyombo binafsi? kuna haja cdm wakawa na television yake au hata karadio, ili watz wapate kusikia yanayotokea.
 
I love it! Mkiendelea hivi, 2015 nitaajiri mbunge, diwani na rais toka chama chenu. Nitawashauri member wengine ktk bodi ya uajiri waniunge mkono....only if you will persist on fighting for welfare of beautiful Tanzania and precious Tanzanians
 
Back
Top Bottom