Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
infwact Kikwete naye anataka katiba mpya na mchakato utaanza karibuni ili siku anaondoka 2015 tutakuwa na Katiba Mpya, ndio maana Celina kasema hilo jambo linazungumzika na isiwe ni hoja ya kisiasa ingawa mwisho wa siku sisiemu wataitumia kama mtaji wa kisiasa.Msiwe na wasiwasi, hata Kikwete, Sitta, Makinda, Pinda, Werema (AG), Makame na Kiruvi watakuja kusema mwaka 2016 kuwa Tanzania inahitaji katiba mpya. Na watalipigia kelele hili swala kuzidi Slaa na wapinzani wengine.
Sitajali kama CCM watatumia upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kama mtaji wao wa kisiasa. Umuhimu ni kwamba Watanzania ndio watakaofaidika na mtaji huo.infwact Kikwete naye anataka katiba mpya na mchakato utaanza karibuni ili siku anaondoka 2015 tutakuwa na Katiba Mpya, ndio maana Celina kasema hilo jambo linazungumzika na isiwe ni hoja ya kisiasa ingawa mwisho wa siku sisiemu wataitumia kama mtaji wa kisiasa.
Yaani Mkapa alipokuwa madarakani hakuona tatizo hilo, baada ya kufaidika na katiba hiyo sasa ndipo anafungua macho na kuiona ina udhaifu? si ajabu kuwa hata Kikwete atakapoondoka madarakani ndipo atakaposema kuwa Tanzania inahitaji Katiba mpya
Kama watanzania wangekuwa wanataka KATIBA mpya wasingeweza kuichagua CCM, kwanza hawakuweka swala la katiba katika ILANI yao ya uchaguzi. Kwanza watu 'wamefurahia' sana hotuba ya Kikwete bungeni ambayo katika vipaumbele vyake Katiba haimo. Niliwahi kusema kuirudisha CCM madarakani ni sawa na kusema UFISADI hakuna Tanzania, KATIBA mpya hatuitaji.
Ndugu BongoTz,Mkuu Adili, nimekupata. In fact, hicho ndicho precisely tunachokifanya hivi sasa. (i.e. kuwashirikisha wananchi wote mijini na vijijini katika zoezi hili). Ila inabidi tuwe realistic hapa kaka, wataalamu wa sheria/Katiba wana sehemu yao pia, ambayo ni kuyapiga msasa maoni tutakayoyatoa. And I don't think we should entirely dismiss them. Otherwise, nakubaliana 100% na kile ulichosema/andika. Thank you.
The same here...............
Sawa sawa, mkuu! Nimekupata. In fact, jana usiku niliamua kuoutline baadhi ya mambo makuu tunayotaka yafanyiwe marekebisho. I think ukingia kwenye petition utaona hayo mabadiliko. Plus, nitaendelea kufanya updates kadri mawazo mpya na mazuri yanavyozidi kutolewa. Shukrani kwa ushauri mzuri.
Luteni nakupa heko pamoja na kuwa ni taarifa za magazeti mabandiko unayochagua kupost yamekwenda shule yana, hoja za msingi great thinkers kujadili.• Asema ndiyo njia ya kuondoa mifarakano
na Datus Boniface
RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, amevunja ukimya baada ya kusema ili kuzuia mifarakano ya kisiasa kwa nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, zinahitaji kuwa na Katiba mpya, ikiwemo Tanzania.
Mkapa alisema hayo katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa jumuiya uliofanyika mjini Bujumbura nchini Burundi, mwezi uliopita.
mkapa ni mnafiki mkubwa baada ya kustaafu ndio anakumbuka kuwa hii katiba yetu ni bomu! Alipokuwa madarakani aliona akae kimya ili kula kuku na nyama za kuchoma bila bugdha yoyote sio?
Apotelee mbali huyu mchawi aliesababisha nchi yetu kuwa na wakimbizi ktk nchi za nje baada ya kufanya mauaji ya halaiki huko zanzibar na iko siku itafika huyu mzee atafikishwa ktk mahakama ya kimataifa kwa mauaji ya raia zake ili yeye na chama chake wabaki madarakani!