Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Wakuu kheri ya mwaka mpya.

Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.

Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa biashara hii ya ukahaba.

Vijana wadogo wanafanya umalaya hadi kwenye makazi ya watu na kutuharibia watoto(wadogo zetu).

Mwanzo ilikuwa maeneo machache tu Pale Masakuu, Sokoni na njia ya Kiburugwa sasa biashara iko Round about ya Charambe kwenye night club maarufu kwa sasa Hotline, Zuen pub, shule ya msingi Rangi 3 uwanjani panapojengwa shule ya sekondari hadi vichochoroni na maeneo mengi kiufupi ukahaba umesambaa kwa kasi sana.

Wenye mamlaka kama wasipothibiti hii hali yumkini miaka michache ijayo mbagala itakuwa Tandika mpya na itapoteza mambo mengi na tayari itakuwa sio salama kuishi na familia zetu.

NB: Najua kuna wadau watakuja kushambulia ila katika jamiii iliyostaarabika ukahaba kufanyika mtaani ni hatari kwa kizazi chetu hasa kutokana na haya magonjwa.
 
tapatalk_1519969548904.jpeg
 
SIKU UKIJA KUKUA NA KUPATA AKILI UTAJUA UMALAYA NI NINI ...NDIYO UTAJUA KUWA MALAYA WAPO HADI IKULU ..WIZARANI ... BUNGENI ....MAHOSPITALINI...NK....tatizo lenu watoto wadogo mmetengeneza aina yenu ya kuita watu malaya ambayo inatambua aina ya malaya kwa maana ya kujiuza barabarani au bar tu .
 
Nilikulaga kitoto cha elfu mbili na tisa hapo mbagala, yani wenyew wamekula ndim sio poa
Elfu mbili na tisa ukakavisha chuma?inasikitisha!

By the way mleta mada mkuu feyzal kinachotokea hapo Mbagala ndicho kilichotokea Mbezi,Mbezi ya zamani hii ya Morogoro Rd uelekeo wa Goba kwenda vile Magufuli Terminal kote wazazi wamekimbia hili janga sasa hivi kunafanyika umalaya wa ajabu.

Kuna sehemu wanapaita Msakuzi ni ndani ndani huko but yanayofanyika huko ni aibu.
 
Kaka kaka mambo vp ? Ukirudi bongo tutafutane.

Hapo umesema wamekula ndimu au Ndumu.

NB. Huwa nikiona Malaya wanao jiuza naonaga kama ni ma VAMPIRE 🦇
NAONAGA KAMA MACHINJA CHINJA AMA MANYONYA DAMU.

#MARADHI HAZINA KWANINI UNUNUE NGONO/ KWANINI UNUNUE SHANGINGI/ MALAYA.
 
Hatari sana mkuu
 
Wakuu kheri ya mwaka mpya.

Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.

Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa biashara hii ya ukahaba.

Vijana wadogo wanafanya umalaya hadi kwenye makazi ya watu na kutuharibia watoto(wadogo zetu).

Mwanzo ilikuwa maeneo machache tu Pale Masakuu, Sokoni na njia ya Kiburugwa sasa biashara iko Round about ya Charambe kwenye night club maarufu kwa sasa Hotline, Zuen pub, shule ya msingi Rangi 3 uwanjani panapojengwa shule ya sekondari hadi vichochoroni na maeneo mengi kiufupi ukahaba umesambaa kwa kasi sana.

Wenye mamlaka kama wasipothibiti hii hali yumkini miaka michache ijayo mbagala itakuwa Tandika mpya na itapoteza mambo mengi na tayari itakuwa sio salama kuishi na familia zetu.

NB: Najua kuna wadau watakuja kushambulia ila katika jamiii iliyostaarabika ukahaba kufanyika mtaani ni hatari kwa kizazi chetu hasa kutokana na haya magonjwa.
Hujalazimishwa kuishi huko.

Ukishindwa ku adapt mazingira ,hama.
 
Kaka kaka mambo vp ? Ukirudi bongo tutafutane.

Hapo umesema wamekula ndimu au Ndumu.

NB. Huwa nikiona Malaya wanao jiuza naonaga kama ni ma VAMPIRE 🦇
NAONAGA KAMA MACHINJA CHINJA AMA MANYONYA DAMU.

#MARADHI HAZINA KWANINI UNUNUE NGONO/ KWANINI UNUNUE SHANGINGI/ MALAYA.
Kuna ishu gan hapo dar mkuu mana mm mipango y kuja dar sina kabisa hapa nataka kwemda Mauri
 
Tandahimba ndani ndanii Kuna hatari ,,
1. Kwa Mboma( Nanyanga
2. Kwa Module, (mchichira)
3. Kwa mzambia(Maundo)
4. Kwa Mjeda (Mwangaza)
 
Wakuu kheri ya mwaka mpya.

Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.

Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa biashara hii ya ukahaba.

Vijana wadogo wanafanya umalaya hadi kwenye makazi ya watu na kutuharibia watoto(wadogo zetu).

Mwanzo ilikuwa maeneo machache tu Pale Masakuu, Sokoni na njia ya Kiburugwa sasa biashara iko Round about ya Charambe kwenye night club maarufu kwa sasa Hotline, Zuen pub, shule ya msingi Rangi 3 uwanjani panapojengwa shule ya sekondari hadi vichochoroni na maeneo mengi kiufupi ukahaba umesambaa kwa kasi sana.

Wenye mamlaka kama wasipothibiti hii hali yumkini miaka michache ijayo mbagala itakuwa Tandika mpya na itapoteza mambo mengi na tayari itakuwa sio salama kuishi na familia zetu.

NB: Najua kuna wadau watakuja kushambulia ila katika jamiii iliyostaarabika ukahaba kufanyika mtaani ni hatari kwa kizazi chetu hasa kutokana na haya magonjwa.
Umenena vyema. Sema sio kazi ya mamlaka kukabiliana na ukahaba. Hili ni jambo la kiroho, na jukumu la kujenga maadili hupatikana nyumbani na ibadani.
 
Back
Top Bottom