SIKU UKIJA KUKUA NA KUPATA AKILI UTAJUA UMALAYA NI NINI ...NDIYO UTAJUA KUWA MALAYA WAPO HADI IKULU ..WIZARANI ... BUNGENI ....MAHOSPITALINI...NK....tatizo lenu watoto wadogo mmetengeneza aina yenu ya kuita watu malaya ambayo inatambua aina ya malaya kwa maana ya kujiuza barabarani au bar tu .Wakuu kheri ya mwaka mpya.
Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.
Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa biashara hii ya ukahaba.
Vijana wadogo wanafanya umalaya hadi kwenye makazi ya watu na kutuharibia watoto(wadogo zetu).
Mwanzo ilikuwa maeneo machache tu Pale Masakuu, Sokoni na njia ya Kiburugwa sasa biashara iko Round about ya Charambe kwenye night club maarufu kwa sasa Hotline, Zuen pub, shule ya msingi Rangi 3 uwanjani panapojengwa shule ya sekondari hadi vichochoroni na maeneo mengi kiufupi ukahaba umesambaa kwa kasi sana.
Wenye mamlaka kama wasipothibiti hii hali yumkini miaka michache ijayo mbagala itakuwa Tandika mpya na itapoteza mambo mengi na tayari itakuwa sio salama kuishi na familia zetu.
NB: Najua kuna wadau watakuja kushambulia ila katika jamiii iliyostaarabika ukahaba kufanyika mtaani ni hatari kwa kizazi chetu hasa kutokana na haya magonjwa.
Elfu mbili na tisa ukakavisha chuma?inasikitisha!Nilikulaga kitoto cha elfu mbili na tisa hapo mbagala, yani wenyew wamekula ndim sio poa
Kaka kaka mambo vp ? Ukirudi bongo tutafutane.Nilikulaga kitoto cha elfu mbili na tisa hapo mbagala, yani wenyew wamekula ndim sio poa
Lamony ng'ombe hazeeki maini-proverb ya wahenga.Unajisifia kuwavulia nguo wajukuu zako? 😥
Hatari sana mkuuElfu mbili na tisa ukakavisha chuma?inasikitisha!
By the way mleta mada mkuu feyzal kinachotokea hapo Mbagala ndicho kilichotokea Mbezi,Mbezi ya zamani hii ya Morogoro Rd uelekeo wa Goba kwenda vile Magufuli Terminal kote wazazi wamekimbia hili janga sasa hivi kunafanyika umalaya wa ajabu.
Kuna sehemu wanapaita Msakuzi ni ndani ndani huko but yanayofanyika huko ni aibu.
Hujalazimishwa kuishi huko.Wakuu kheri ya mwaka mpya.
Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.
Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa biashara hii ya ukahaba.
Vijana wadogo wanafanya umalaya hadi kwenye makazi ya watu na kutuharibia watoto(wadogo zetu).
Mwanzo ilikuwa maeneo machache tu Pale Masakuu, Sokoni na njia ya Kiburugwa sasa biashara iko Round about ya Charambe kwenye night club maarufu kwa sasa Hotline, Zuen pub, shule ya msingi Rangi 3 uwanjani panapojengwa shule ya sekondari hadi vichochoroni na maeneo mengi kiufupi ukahaba umesambaa kwa kasi sana.
Wenye mamlaka kama wasipothibiti hii hali yumkini miaka michache ijayo mbagala itakuwa Tandika mpya na itapoteza mambo mengi na tayari itakuwa sio salama kuishi na familia zetu.
NB: Najua kuna wadau watakuja kushambulia ila katika jamiii iliyostaarabika ukahaba kufanyika mtaani ni hatari kwa kizazi chetu hasa kutokana na haya magonjwa.
Mleta mada ni mkazi wa huko, ana haki ya kulalamika akiona kero mtaani kwakeHujalazimishwa kuishi huko.
Ukishindwa ku adapt mazingira ,hama.
ChaiKama ni kweli basi una tatizo kubwa sana.
Kuna ishu gan hapo dar mkuu mana mm mipango y kuja dar sina kabisa hapa nataka kwemda MauriKaka kaka mambo vp ? Ukirudi bongo tutafutane.
Hapo umesema wamekula ndimu au Ndumu.
NB. Huwa nikiona Malaya wanao jiuza naonaga kama ni ma VAMPIRE 🦇
NAONAGA KAMA MACHINJA CHINJA AMA MANYONYA DAMU.
#MARADHI HAZINA KWANINI UNUNUE NGONO/ KWANINI UNUNUE SHANGINGI/ MALAYA.
Umenena vyema. Sema sio kazi ya mamlaka kukabiliana na ukahaba. Hili ni jambo la kiroho, na jukumu la kujenga maadili hupatikana nyumbani na ibadani.Wakuu kheri ya mwaka mpya.
Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.
Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa biashara hii ya ukahaba.
Vijana wadogo wanafanya umalaya hadi kwenye makazi ya watu na kutuharibia watoto(wadogo zetu).
Mwanzo ilikuwa maeneo machache tu Pale Masakuu, Sokoni na njia ya Kiburugwa sasa biashara iko Round about ya Charambe kwenye night club maarufu kwa sasa Hotline, Zuen pub, shule ya msingi Rangi 3 uwanjani panapojengwa shule ya sekondari hadi vichochoroni na maeneo mengi kiufupi ukahaba umesambaa kwa kasi sana.
Wenye mamlaka kama wasipothibiti hii hali yumkini miaka michache ijayo mbagala itakuwa Tandika mpya na itapoteza mambo mengi na tayari itakuwa sio salama kuishi na familia zetu.
NB: Najua kuna wadau watakuja kushambulia ila katika jamiii iliyostaarabika ukahaba kufanyika mtaani ni hatari kwa kizazi chetu hasa kutokana na haya magonjwa.
Mkuu kuwaombea ndio mpaka ujue Bei ?!Umesema wako sehemu gani?
Bei sh ngapi?
Kuanzia saa ngapi wanapatikana?
Nataka niwatafute niwaombee