Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

Ile bar ya Lubumbashi kuzunguka maeneo yote karibu na shule ni balaa mnoo, Ukija Ubungo riverside kumechangamka mno

Yani hii dsm sehemu pekee ambayo sijaona malaya ni Goba tuu
 
Mleta mada ni mkazi wa huko, ana haki ya kulalamika akiona kero mtaani kwake
Ahame aende wapi?
Mtoa mada Leo nataka nije KUTEMBEA Mbagala naomba unitembeze kama observer reporter 😊

Observer reporter wa KUJITEGEMEA ili nione kwa uhalisia wake.
 
Siku hizi kwa kifupi ni Dar nzima kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…