ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
"Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote;
👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi
👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba
👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july 16 2021)
Mimi naunga mkono hoja.
Kwa sasa sisi wananchi hatuhitaji maendeleo tena. Hapa tulipofika panatutosha. Tunahitaji katiba mpya kwanza ndio itatuletea uchumi thabiti.
Tunahitaji revolutionary ili tuelewane. Tujadiliane tukiwa na makovu. Kama kwa hiari imeshindikana.
#Katibampyakwamaendeleo.
#katibampyakwanza.