ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
kwan we mwananchi"Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote;
[emoji117] Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi
[emoji117]Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba
[emoji117]CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july 16 2021)
Mimi naunga mkono hoja.
Kwa sasa sisi wananchi hatuhitaji maendeleo tena. Hapa tulipofika panatutosha. Tunahitaji katiba mpya kwanza ndio itatuletea uchumi thabiti.
Tunahitaji revolutionary ili tuelewane. Tujadiliane tukiwa na makovu. Kama kwa hiari imeshindikana.
#Katibampyakwamaendeleo.
#katibampyakwanza.
Kwa kweli inaonekana fika imeshindwa..!Hata ifike mwaka 2500, CCM haiwezi kuleta maendeleo Tanzania [emoji23]
Mimi ni wewekwan we mwananchi
Muongozo mpyaKatiba mpya ndio kitu gani.
Kwani Taifa ndio linaanza leo?
Miongozo thabiti ilishawekwa wakati nchi inaanza ...issue ni imolimentation tuMuongozo mpya
Wanaoimplement hawatimizi wajibu wao. Hii ni kutokana kuwa muongozo uliopo hauna uwezo wa kuwawajibisha kisawasawa.Miongozo thabiti ilishawekwa wakati nchi inaanza ...issue ni imolimentation tu
Kama wewe ukivochangia ugoro hapo.Umeandika ugoro na upuuzi mtupu! Watoto wetu watakula katiba mpya?
Kama tumeshindwa KUENDELEA kwa MIAKA 60 tufanye Mambo Mengi ikiwa ni KUTAFUTA KATIBA MPYA"Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote;
[emoji117] Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi
[emoji117]Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba
[emoji117]CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july 16 2021)
Mimi naunga mkono hoja.
Kwa sasa sisi wananchi hatuhitaji maendeleo tena. Hapa tulipofika panatutosha. Tunahitaji katiba mpya kwanza ndio itatuletea uchumi thabiti.
Tunahitaji revolutionary ili tuelewane. Tujadiliane tukiwa na makovu. Kama kwa hiari imeshindikana.
#Katibampyakwamaendeleo.
#katibampyakwanza.
Uko sahihi. Kaya haiwezi kuendelea kiuchumi kama utaratibu wa kuiongoza kaya hiyo hautoshi. Utaratibu bora wa kujiongoza ndiyo shina la maendeleo kiuchumi."Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote;
👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi
👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba
👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july 16 2021)