Maendeleo vs Chama

Maendeleo vs Chama

Joined
Jan 7, 2025
Posts
7
Reaction score
9
Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi
1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni viongozi wa ngazi za juu kitaifa ✍️✍️

2. Viongozi wa ngazi ya kati waliyo aminiwa na wananchi kuitekeleza ilani ya chama husika mfano mzuri hapa ni viongozi wa ngazi Mikoa na Wilaya zake ✍️ ✍️

3. Viongozi wa ngazi ya chini huku ni kuanzia viongozi wa mtaa,kitongoji, Kijiji, kaya,nyumba kumi na hadi ngazi ya familia✍️✍️

NB; Hapo kwa kila mmoja akipambana na kuhamasisha mapambano kwa kila mmoja pale alipo na kutojali maslahi binafsi bila shaka lazima kuna mabadiliko makubwa sanaa yatapatikana kwa muda mwafaka 🙏🙏

Mwisho kabisa tuzingatieni sanaa swala la ushindani wa vyama vyetu usiathri nguvu na jitihada tuliyonayo katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu🇹🇿🇹🇿
 
NB; Hapo kwa kila mmoja akipambana na kuhamasisha mapambano kwa kila mmoja pale alipo na kutojali maslahi binafsi bila shaka lazima kuna mabadiliko makubwa sanaa yatapatikana kwa muda mwafaka🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Mimi kwa upande wangu nasema maendeleo hayapaswi kutegemea chama, maendeleo ni mipango,kwa mfano kama serikali imepanga kupeleka lami Sehemu,inabidi ipelekwe kwakuwa tayari ipo kwenye mpngo hata kama jimbo husika halina mbunge,and vice versa.

Kutokupeleka maendeleo sehemu kwasababu kuna mbunge au viongozi wa chama kingine au upinzani kama alivyofanya bwana yule ni utoto na ukosefu wa maarifa.
 
Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi
1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni viongozi wa ngazi za juu kitaifa ✍️✍️

2. Viongozi wa ngazi ya kati waliyo aminiwa na wananchi kuitekeleza ilani ya chama husika mfano mzuri hapa ni viongozi wa ngazi Mikoa na Wilaya zake ✍️ ✍️

3. Viongozi wa ngazi ya chini huku ni kuanzia viongozi wa mtaa,kitongoji, Kijiji, kaya,nyumba kumi na hadi ngazi ya familia✍️✍️

NB; Hapo kwa kila mmoja akipambana na kuhamasisha mapambano kwa kila mmoja pale alipo na kutojali maslahi binafsi bila shaka lazima kuna mabadiliko makubwa sanaa yatapatikana kwa muda mwafaka 🙏🙏

Mwisho kabisa tuzingatieni sanaa swala la ushindani wa vyama vyetu usiathri nguvu na jitihada tuliyonayo katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu🇹🇿🇹🇿
Bila CCM kuwekwa pembeni hakuna maendeleo Tanzania.
 
Kwa Tanzania mfumo huo haufanyi kazi mfumo unaotumika ni unyumbu wa kisiasa ambao wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasasa ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uonga wa kuigiza kwa viongozi, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Ukichagizwa na jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Yaani jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka
 
Back
Top Bottom