philipo Leonard Philipo
Member
- Jan 7, 2025
- 7
- 9
Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi
1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni viongozi wa ngazi za juu kitaifa ✍️✍️
2. Viongozi wa ngazi ya kati waliyo aminiwa na wananchi kuitekeleza ilani ya chama husika mfano mzuri hapa ni viongozi wa ngazi Mikoa na Wilaya zake ✍️ ✍️
3. Viongozi wa ngazi ya chini huku ni kuanzia viongozi wa mtaa,kitongoji, Kijiji, kaya,nyumba kumi na hadi ngazi ya familia✍️✍️
NB; Hapo kwa kila mmoja akipambana na kuhamasisha mapambano kwa kila mmoja pale alipo na kutojali maslahi binafsi bila shaka lazima kuna mabadiliko makubwa sanaa yatapatikana kwa muda mwafaka 🙏🙏
Mwisho kabisa tuzingatieni sanaa swala la ushindani wa vyama vyetu usiathri nguvu na jitihada tuliyonayo katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu🇹🇿🇹🇿