John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Huenda ni miongoni mwa wanafamilia pia..duh mnajua exactly anaumwa nini wakati hakuna hata aliyepewa taarifa sahihi na either familia ama mkewe? speculating thinkers
Pamoja sanaNitajihisi nimetenda dhambi kubwa kama nitashindwa kumchangia japo kidogo nilichonacho my legend, the best to ever do..., Leo naahidi kabla sijalala nitakuwa nishamchangia
Barikiwa sanaNitajihisi nimetenda dhambi kubwa kama nitashindwa kumchangia japo kidogo nilichonacho my legend, the best to ever do..., Leo naahidi kabla sijalala nitakuwa nishamchangia
Wengi wametumia zaidi ya miaka kadhaa na hawana tatizo la figoWameona nimekonda ghafla wakasema naumwa ukimwi .....ayo kayaimba mwemyew nawakumbusha tu ARV ukitumia kwa mda mrefu zinaharibu figo
Unamaanisha nini mkuu?Dawa zetu za kiume ndio shida kwa wengi.
Get well soon mbunge mstaafuBaada ya ukimya wa siku kadhaaa, taarifa kutoka kwa watu wa karibu na msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ni kuwa anaendelea vizuri kiafya tofauti na ilivyokuwa wiki iliyopita.
Hakuna mwanafamilia ambaye amejitokeza kuweka hadharani zaidi ya taarifa za awali ambazo zilieza Jay ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Mikumi, alipoanza kuugua alipelekwa katika hospitali mitaa ya Tegeta, akahamishwa kupelekwa Lugalo na baadaye akahamishiwa Muhimbili ambapo ndipo alipo hadi sasa.
Wasanii mbalimbali wamekuwa wakijitokeza hadharani kumpa pole licha ya kutoweka wazi nini hasa ambacho kinamsumbua.
Nitajihisi nimetenda dhambi kubwa kama nitashindwa kumchangia japo kidogo nilichonacho my legend, the best to ever do..., Leo naahidi kabla sijalala nitakuwa nishamchangia