Maendeleo ya mji mpya Boko, Bunju na Mbweni yanahitaji Wilaya mpya na Jimbo

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,181
Umuhofia kwenyu,

Serikali INA haja ya kuangalia uwezekano kuunda wilaya ya miji mipya, boko, bunju na mbweni, miji hii inaendelea kwa kasi kiasi kwamba huduma za jamii zinakwama kufuatana wingi watu na matukio mbalimbali ambayo yangemalizwa kijimbo/ kiwilaya. Miji hii inakaa wakazi wengi, sehemu kubwa imepimwa na serikali.

Miradi mingi inakwama au kupuuzwa kwa kuwa mbunge wetu yupo mbali na miji hii. Miji hii imejaa watu wapenda maendeleo, hata kasi ya ujenzi inavutia kiasi kwamba serikali inapaswa kushwishika kupaboresha zaidi.

Tayari kuna stand ya kutosha (eneo LA Stand) maeneo ya soko makubwa mno, kwa sasa INA kituo cha polisi kikubwa kuliko vituo vyote vya wilaya. Lakini maajabu, ina kadaraja ka boko kanasumbua sana, hakuna njia mbadala panapotokea ajari ndogo, service road zilitelekezwa hazipitiki. Traffic wanaleta jam sana wameona sehemu ya kujificha kupiga fedha za maroli. TRA imekosa umakini kuzuia magendo za mbweni.

Kama tukipewa wilaya, jimbo , patakuwa sehemu ya mfano ya makazi bora
 
Tunataka kufuta majimbo wewe unawaza kuongeza majimbo! Ili iweje?
 
Mkuu nimeisha edit na nimefanikiwa kufunga autocorrect kumbe shida inalazimisha kilugha cha malikia. Sasa utelezi tuu utaona tena makosa
Umekuja kasi sana
makosa ya kiuandishi yamekuwa mengi
 
Ujenzi wa barabara ya Bagamoyo karibia unaanza, watu wameshawekewa -X- na Tanroads waondoe vibanda vyao pembezoni mwa barabara, na serikali tayari ilishapokea mkopo wa ujenzi wa hiyo barabara toka AFDB.

Sasa ni suala la muda tu.
 
Umuhofia kwenyu,

Serikali INA haja ya kuangalia uwezekano kuunda wilaya ya miji mipya, boko, bunju na mbweni, miji hii inaendelea kwa kasi kiasi kwamba huduma za jamii zinakwama kufuatana wingi watu na matukio mbalimbali ambayo yangemalizwa kijimbo/ kiwilaya. Miji hii inakaa wakazi wengi, sehemu kubwa imepimwa na serikali.

Miradi mingi inakwama au kupuuzwa kwa kuwa mbunge wetu yupo mbali na miji hii. Miji hii imejaa watu wapenda maendeleo, hata kasi ya ujenzi inavutia kiasi kwamba serikali inapaswa kushwishika kupaboresha zaidi.

Tayari kuna stand ya kutosha (eneo LA Stand) maeneo ya soko makubwa mno, kwa sasa INA kituo cha polisi kikubwa kuliko vituo vyote vya wilaya. Lakini maajabu, ina kadaraja ka boko kanasumbua sana, hakuna njia mbadala panapotokea ajari ndogo, service road zilitelekezwa hazipitiki. Traffic wanaleta jam sana wameona sehemu ya kujificha kupiga fedha za maroli. TRA imekosa umakini kuzuia magendo za mbweni.

Kama tukipewa wilaya, jimbo , patakuwa sehemu ya mfano ya makazi bora
Akili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,
Tangu umezaliwa umeishawahi kusikia UK, USA,Moroco,Misri,SA,wanaongeza mikoa, majimbo, kwa kugawa yaliyopo, sasa tuongeze wilaya, inaleta faida gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi, eneo halijaongezeka, cha muhimu ilikuwa kuongeza vitu kama hospitali, shule,
Badala ya kuleta hoja, tuongeze maviwanda makubwa yanayoajiri watu kama 1000,ili nchi iwe no akiba kubwa kiasi kwamba tufikie hatua hata mtoto ambaye hajazaliwa, tayari pesa yake ya mkopo wa elimu ya juu, ipo tayari, wewe unaleta Story za kuleta ma wilaya mengine, hali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba hata mtoto ambaye hajazaliwa anadaiwa
 
Kuwa mfuatiliaji wa mambo mfano marekani congressional district zinaongezwa au kupunguzwa kutokana na ongezeko la watu kwenye Jimbo husika, kwa hiyo mtoa mda Yuko sahii
 
Hivi vitu kwetu havina faida, USA, uchumi wao unaweza kuhimili, sio sisi, Tusi copy na ku paste tu,
Kuongeza wilaya, ni kuongeza gharama kwa nchi,
 
Akili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,
Tangu umezaliwa umeishawahi kusikia UK, USA,Moroco,Misri,SA,wanaongeza mikoa, majimbo, kwa kugawa yaliyopo, sasa tuongeze wilaya, inaleta faida gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi, eneo halijaongezeka, cha muhimu ilikuwa kuongeza vitu kama hospitali, shule,
Badala ya kuleta hoja, tuongeze maviwanda makubwa yanayoajiri watu kama 1000,ili nchi iwe no akiba kubwa kiasi kwamba tufikie hatua hata mtoto ambaye hajazaliwa, tayari pesa yake ya mkopo wa elimu ya juu, ipo tayari, wewe unaleta Story za kuleta ma wilaya mengine, hali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba hata mtoto ambaye hajazaliwa anadaiwa
Nashangaa hawaja like mawazo kuntu
Unaongeza wilaya ni kuongeza
. Gharama za uendeshaji
Unaongeza kodi kwa mlipa kodi
Maana utaajiri wengi
Kwanini waliopo wasifanyekazi? Kama wa.eshindwa waje wengine
Kwa maana itakuja kufika kila familia inakuwa na mkuu wa wilaya, OCD, inakuwa na mbunge

Hizi ratio za mtu iwe kwa huduma Madaktari, Waalimu etc
Sio watawla na wasimamizi wa sera
 
Kuwa mfuatiliaji wa mambo mfano marekani congressional district zinaongezwa au kupunguzwa kutokana na ongezeko la watu kwenye Jimbo husika, kwa hiyo mtoa mda Yuko sahii
Hili jamaa limeamka Nazo, linatukana bila kufuatilia, linalia lia na gharama kama kwamba pesa linatoa mfukoni mwake. Kwani hajui kwamba uongozi ukongezeka ndio ajira yenyewe.
 
Akili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,
Tangu umezaliwa umeishawahi kusikia UK, USA,Moroco,Misri,SA,wanaongeza mikoa, majimbo, kwa kugawa yaliyopo, sasa tuongeze wilaya, inaleta faida gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi, eneo halijaongezeka, cha muhimu ilikuwa kuongeza vitu kama hospitali, shule,
Badala ya kuleta hoja, tuongeze maviwanda makubwa yanayoajiri watu kama 1000,ili nchi iwe no akiba kubwa kiasi kwamba tufikie hatua hata mtoto ambaye hajazaliwa, tayari pesa yake ya mkopo wa elimu ya juu, ipo tayari, wewe unaleta Story za kuleta ma wilaya mengine, hali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba hata mtoto ambaye hajazaliwa anadaiwa
Usilinganishe mataifa yaliyoenfelea miaka mia2 na taiga changa lenye miaka 50 tu tangu lipate Uhuru. Changamoto za uongozi bado kubwa mno. Maendeleo yanakuja na gharamabzake, uwezi kuongoza ukiwa mbali wenyeji wakanufaika. Luna mambo mengine unatakiwa kufika na kujionea mwenyewe. Kumbuka USA no United State, kila State INA sheria sake, hivi viwilaya na mikoa vinategemea rais mmoja . uwezi mkajipangia maendeleo. Sasa unabinua dichwa kwa kulinganisha Tanzania na Marekani
 
Hili jamaa limeamka Nazo, linatukana bila kufuatilia, linalia lia na gharama kama kwamba pesa linatoa mfukoni mwake. Kwani hajui kwamba uongozi ukongezeka ndio ajira yenyewe.
Kuna siku nilishuka bunju shule nikapanda mabwe pande juu, kiukweli kule kunahitaji mbunge na sio tu mbunge Bali suburbs yao kabisa
 
Walitaka kuweka wilaya iitwe Mabwe Pande madiwani wakakataa jina, wakataka paitwe Bunju. Au Teta. Alafu makao makuu ya wilaya yajengwe mabwepande, kituo cha mabasi ya tanga, moshi na Arusha kijengwe eneo kubwa linalomilikiwa na Dawasco. Ngoma ikawa ngumu. Tusiangalie viongozi watalipwa nini , bora wakapunguza wabunge wa viti maalum sehemu zinazohitaji wilaya na mbunge wa kuteuliwa ziongezwe
 
Back
Top Bottom