mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,181
Usijari nitayarekebisha yaani autocorrect kwetu mbaya ukizangatia screen ya simu ndogo ngoja nianze kuedit lakiniUmekuja kasi sana
makosa ya kiuandishi yamekuwa mengi
Majimbo yasifutwe kufutwe viti maalum havina tija kazi kuunda mitandao ya ngono zembeTunataka kufuta majimbo wewe unawaza kuongeza majimbo! Ili iweje?
Umekuja kasi sana
makosa ya kiuandishi yamekuwa mengi
Akili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,Umuhofia kwenyu,
Serikali INA haja ya kuangalia uwezekano kuunda wilaya ya miji mipya, boko, bunju na mbweni, miji hii inaendelea kwa kasi kiasi kwamba huduma za jamii zinakwama kufuatana wingi watu na matukio mbalimbali ambayo yangemalizwa kijimbo/ kiwilaya. Miji hii inakaa wakazi wengi, sehemu kubwa imepimwa na serikali.
Miradi mingi inakwama au kupuuzwa kwa kuwa mbunge wetu yupo mbali na miji hii. Miji hii imejaa watu wapenda maendeleo, hata kasi ya ujenzi inavutia kiasi kwamba serikali inapaswa kushwishika kupaboresha zaidi.
Tayari kuna stand ya kutosha (eneo LA Stand) maeneo ya soko makubwa mno, kwa sasa INA kituo cha polisi kikubwa kuliko vituo vyote vya wilaya. Lakini maajabu, ina kadaraja ka boko kanasumbua sana, hakuna njia mbadala panapotokea ajari ndogo, service road zilitelekezwa hazipitiki. Traffic wanaleta jam sana wameona sehemu ya kujificha kupiga fedha za maroli. TRA imekosa umakini kuzuia magendo za mbweni.
Kama tukipewa wilaya, jimbo , patakuwa sehemu ya mfano ya makazi bora
Kuwa mfuatiliaji wa mambo mfano marekani congressional district zinaongezwa au kupunguzwa kutokana na ongezeko la watu kwenye Jimbo husika, kwa hiyo mtoa mda Yuko sahiiAkili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,
Tangu umezaliwa umeishawahi kusikia UK, USA,Moroco,Misri,SA,wanaongeza mikoa, majimbo, kwa kugawa yaliyopo, sasa tuongeze wilaya, inaleta faida gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi, eneo halijaongezeka, cha muhimu ilikuwa kuongeza vitu kama hospitali, shule,
Badala ya kuleta hoja, tuongeze maviwanda makubwa yanayoajiri watu kama 1000,ili nchi iwe no akiba kubwa kiasi kwamba tufikie hatua hata mtoto ambaye hajazaliwa, tayari pesa yake ya mkopo wa elimu ya juu, ipo tayari, wewe unaleta Story za kuleta ma wilaya mengine, hali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba hata mtoto ambaye hajazaliwa anadaiwa
Hivi vitu kwetu havina faida, USA, uchumi wao unaweza kuhimili, sio sisi, Tusi copy na ku paste tu,Kuwa mfuatiliaji wa mambo mfano marekani congressional district zinaongezwa au kupunguzwa kutokana na ongezeko la watu kwenye Jimbo husika, kwa hiyo mtoa mda Yuko sahii
Nashangaa hawaja like mawazo kuntuAkili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,
Tangu umezaliwa umeishawahi kusikia UK, USA,Moroco,Misri,SA,wanaongeza mikoa, majimbo, kwa kugawa yaliyopo, sasa tuongeze wilaya, inaleta faida gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi, eneo halijaongezeka, cha muhimu ilikuwa kuongeza vitu kama hospitali, shule,
Badala ya kuleta hoja, tuongeze maviwanda makubwa yanayoajiri watu kama 1000,ili nchi iwe no akiba kubwa kiasi kwamba tufikie hatua hata mtoto ambaye hajazaliwa, tayari pesa yake ya mkopo wa elimu ya juu, ipo tayari, wewe unaleta Story za kuleta ma wilaya mengine, hali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba hata mtoto ambaye hajazaliwa anadaiwa
Hili jamaa limeamka Nazo, linatukana bila kufuatilia, linalia lia na gharama kama kwamba pesa linatoa mfukoni mwake. Kwani hajui kwamba uongozi ukongezeka ndio ajira yenyewe.Kuwa mfuatiliaji wa mambo mfano marekani congressional district zinaongezwa au kupunguzwa kutokana na ongezeko la watu kwenye Jimbo husika, kwa hiyo mtoa mda Yuko sahii
Usilinganishe mataifa yaliyoenfelea miaka mia2 na taiga changa lenye miaka 50 tu tangu lipate Uhuru. Changamoto za uongozi bado kubwa mno. Maendeleo yanakuja na gharamabzake, uwezi kuongoza ukiwa mbali wenyeji wakanufaika. Luna mambo mengine unatakiwa kufika na kujionea mwenyewe. Kumbuka USA no United State, kila State INA sheria sake, hivi viwilaya na mikoa vinategemea rais mmoja . uwezi mkajipangia maendeleo. Sasa unabinua dichwa kwa kulinganisha Tanzania na MarekaniAkili za mtu mweusi ni kama ngozi ya tako,
Tangu umezaliwa umeishawahi kusikia UK, USA,Moroco,Misri,SA,wanaongeza mikoa, majimbo, kwa kugawa yaliyopo, sasa tuongeze wilaya, inaleta faida gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi, eneo halijaongezeka, cha muhimu ilikuwa kuongeza vitu kama hospitali, shule,
Badala ya kuleta hoja, tuongeze maviwanda makubwa yanayoajiri watu kama 1000,ili nchi iwe no akiba kubwa kiasi kwamba tufikie hatua hata mtoto ambaye hajazaliwa, tayari pesa yake ya mkopo wa elimu ya juu, ipo tayari, wewe unaleta Story za kuleta ma wilaya mengine, hali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba hata mtoto ambaye hajazaliwa anadaiwa
Kuna siku nilishuka bunju shule nikapanda mabwe pande juu, kiukweli kule kunahitaji mbunge na sio tu mbunge Bali suburbs yao kabisaHili jamaa limeamka Nazo, linatukana bila kufuatilia, linalia lia na gharama kama kwamba pesa linatoa mfukoni mwake. Kwani hajui kwamba uongozi ukongezeka ndio ajira yenyewe.
Walitaka kuweka wilaya iitwe Mabwe Pande madiwani wakakataa jina, wakataka paitwe Bunju. Au Teta. Alafu makao makuu ya wilaya yajengwe mabwepande, kituo cha mabasi ya tanga, moshi na Arusha kijengwe eneo kubwa linalomilikiwa na Dawasco. Ngoma ikawa ngumu. Tusiangalie viongozi watalipwa nini , bora wakapunguza wabunge wa viti maalum sehemu zinazohitaji wilaya na mbunge wa kuteuliwa ziongezweKuna siku nilishuka bunju shule nikapanda mabwe pande juu, kiukweli kule kunahitaji mbunge na sio tu mbunge Bali suburbs yao kabisa