Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

iyo technology isije ikafika huku ibaki uko uko tutakufa njaa mjini.
 
Dahh Engineer wetu wanasoma tu minotsi mingii solving za kutosha. Hawawez hata kutengeneza nguzo za Concrete had walete mchina.

China moja kat ya kipimo Cha ukichaa ni kutukujua hata ujenzi wa Daraja.
Wachina wote ni engineers.
China mjini, au vijijini ndani ndani huko?
 
Jidu La Mabambasi karibu kaka uchangie mawazo
Mkuu hiyo ni teknolojia ya ujenzi iitwayo prefabricated concrete au hata steel elements.
Tatizo watanzania wengi hawaifahamu.
Unajenga nyumba ikiwa chini na kuiunganisha kwa crane na ujenzi ni wa haraka sana.

Mimi nimejenga godown lenye ukubwa wa kutosha kwa steel structure elements na vile vile nyumba ya ghorofa yenye prefabricated floors.

Na bado ninalo hall liko store, liko kamili, natafuta kiwanja!
 
Share picha tuongeze upeo ndugu.

Pia kuagiza china n bei gan room 4 zakulala self, dinning & sitting room, jiko, stoo na public toilet
 
Mimi hapa geto nilipoamia siku ya tatu leo fundi hajamaliza kupaka rangi tu
 
Kwa hii teknolojia, nyumba za kaya zote kwenye kijiji chenye kaya 400 zinaweza kujengwa ndani ya siku tano......wataalamu wetu wakajifunze ili kuondoa makazi duni vijijini na maeneo ya mijini.
 
Nimewahi ona Netherlands wanajenga underpass kwa masaa 8

India nao underpass ndani ya masaa 6

Maandalizi yote yalikuwa yamefanyika tayari hivyo ni kuchomeka kitu juu ya kitu
Ooh!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…