Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

Ni upumbavu mavitu yashajengwa ni kupachika tu shwaini
 
Daah yale majengo ya pale Kawe karibu na ukwani,daaah yale majengo ya kule kigamboni,daah lile bwawa la umeme tena daah tena daah hiyo tren ya mwendokasi huku bongo kuna vitu vinachukua miongo na miongo kukamilika
 


Hili jengo lilisimama kwa siku 19 tu
 
Wanatumia material gani hizi hiz zege au
Precast concrete wall ndani ya lisaa unahamia.
Sijui bongo kama kuna viwanda vya nyumba hizo.
Yaani nyumba inajengwa kiwandani wewe ni kwenda kufunga tu kwa bolt au kushikisha kwa zege
 
Dunia ya kiafrika inabeba kabisa dhana ya uwepo wa Mungu hata kama huamini yupo.KUNA NGUVU TUSIYOIJUA INATUPIGANIA VINGINEVYO TUNATIA HURUMA.

Hakuna Jamii isiyoamini uwepo wa nguvu iliyo kuu kwao.
 
Nimewahi ona Netherlands wanajenga underpass kwa masaa 8

India nao underpass ndani ya masaa 6

Maandalizi yote yalikuwa yamefanyika tayari hivyo ni kuchomeka kitu juu ya kitu
Assembled
 
Hhaya sasa Marekani ijitokeze tena isema walikula popo kinyume na utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…