mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Kwa sababu USA imejenga barabara kwa miaka 250 mkulima wa pamba, korosho, kahawa nk asubiri hiyo miaka ndiyo aweze kusafirisha mazao yake kwenda kwenye masoko? Je, huyu mkulima atapata wapi kipato cha kumudu maisha yake? Unajifanya hamnazo au ndio ukweli?USA wamejenga kwa miaka 250 nyie mnataka mjenge kwa miaka mitano huku mnapigamo na 10% za kumwaga. Msitufanye wajinga sisi.