Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,154
- 3,144
Full text:
Ticha Mashamba: Sawa, Leo tuna sayansi na teknolojia kubwa sana tofauti na zama zako.
Yesu: Na bado Kuna vita, njaa, hofu, Mashaka, upweke, magonjwa na matatizo chungu nzima.
Ticha Mashamba: Kwa hiyo maendeleo hayajatatua Kila kitu?
Yesu: Maendeleo yametatua mengi, lakini hayajaondoa kiu ya moyo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=TMNCfpA8z1o&pp=ygUMeWVzdSBhbmFqaWJ1