Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Unajenga mabarabara lakini mwananchi hana uwezo wa kulipa nauli na kupanda basi hata kama barabara ni nzuri. Hii haisaidii kitu. Mwananchi lazima awe na kipato cha ziada ili kuwa na uwezo mkubwa kumudu.
Unajenga hospital lakini huduma za kulipia na wananchi hawawezi kumudu inasaidia nini?
Unatoa tamko kuwa elimu ni bure. Lakini michango na gharama za mwanafunzi ni maradufu ya ada ambayo angelipa. Hapa kuna elimu bure?
Mabilioni ya pesa za umma yanayokusanywa kwenye kodi za umma yanakwenda wapi?