Maendeleo yasiyoweza kumgusa mwananchi moja kwa moja ni ubatili. Kwa miaka 60 tumepata uhuru lakini CCM haijamsaidia mwananchi wa Kawaida

Maendeleo yasiyoweza kumgusa mwananchi moja kwa moja ni ubatili. Kwa miaka 60 tumepata uhuru lakini CCM haijamsaidia mwananchi wa Kawaida

Dada jikite kwenye mada kwa manufaa ya taifa lako.
Leo ndo unaona kuna haja ya watu kujikita kwenye mada kwa manufaa ya taifa.siku za nyuma ulikua wapi?.Tatizo lenu mnajiona kama nyie pekee ndio wakuzungumzia matatizo ya hii nchi,akiyazungumza mtu mwingine mnamkejeli nakuingiza ujinga mkifikiri mnakomoa kumbe mnajikomoa wenyewe.
 
Sio lazima maendeleo yamguse mwananchi moja kwa moja, Lamuhimu ni kuwa yamguse tu hata kiupande upande. Ila Tanzania bado hakuna maendeleo ya aina yoyote kwa miaka hii 60.
 
Back
Top Bottom