Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ukute yeye ndio kapata kibarua hukoNilipokuwa namuonya alidai mimi ni mfanyakazi wa Desderia hotel ya Mbeya, sasa nadhani kishaelewa kwamba mimi ni namba nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute yeye ndio kapata kibarua hukoNilipokuwa namuonya alidai mimi ni mfanyakazi wa Desderia hotel ya Mbeya, sasa nadhani kishaelewa kwamba mimi ni namba nyingine.
Wakikosa msosi tu akili zinawarudiaIdugunde the witch one of the accredited and certified f*ol in the forum for the first time has posted a sensible thread.
Leo ndo unaona kuna haja ya watu kujikita kwenye mada kwa manufaa ya taifa.siku za nyuma ulikua wapi?.Tatizo lenu mnajiona kama nyie pekee ndio wakuzungumzia matatizo ya hii nchi,akiyazungumza mtu mwingine mnamkejeli nakuingiza ujinga mkifikiri mnakomoa kumbe mnajikomoa wenyewe.Dada jikite kwenye mada kwa manufaa ya taifa lako.
Si umeona hapo kuna mdau kakuambia tunahitaji mapinduz ya kilimo....Hujui?
Umeasi Ccm baada ya kukosa teuzi?Mabilioni ya pesa za umma yanayokusanywa kwenye kodi za umma yanakwenda wapi?