Maendeleo yote yaliyoletwa na awamu ya tano, kwanini wanaogopa Tume huru ya Uchaguzi

kwani tume huru haipo? ingekuwa haipo wabunge wa upinzani waliwezaje kuwa wabunge?
Wabunge wote wa Chadema walitangazwa kwa Shinikizo la nguvu ya umma . Na hata mwaka huu TUNDU ANTIPAS LISSU atatangazwa kuwa raisi kwa shinikizo la nguvu ya umma
 
Muulize ilo swali mbowe kwann hatak kuachia uenyekit wakat chadema Ina vijana Makin
 
Jmn watu mpo mna upofu acheni ushabiki tu angalia mtu anayejali maisha ya wananchi hata kidogo tu.
Mim nnawahakikishia kiongozi wa upinzani akiishika nchi hii hatakua na tofauti yeyote na Hawa wa ccm.
 
Jmn watu mpo mna upofu acheni ushabiki tu angalia mtu anayejali maisha ya wananchi hata kidogo tu.
Mim nnawahakikishia kiongozi wa upinzani akiishika nchi hii hatakua na tofauti yeyote na Hawa wa ccm.
Basi mpeni jecha
 
Tume huru sio ajenda yetu
Mlipewa nafasi mkaichezea
 
Mkuu mimi mtumishi nimepigwa 5 - 0...

Hata wakiweka mavi....

Ntachagua mavi ntaacha JIWE.

Hili wanalijua.

Hatuli stiglers goji...hatuli ndege...

Hili JIWE analijua.
 
Historia ya Magu akiwa Mbunge hadi amekuwa rais , hajawahi kuruhusu awepo mgombea wa kum challenge. Unategemea out of blue aruhusu mazingira ya kumchallenge ?
 
Tatizo ni moja tu, wamebeba hoja ya maendeleo ya vitu, lkn wemekosa kabisa hoja juu ya maendeleo ya watu ndani ya awamu hii ya tano. Pasipo hata kujali nini ambacho kimefanyika na hata kulazimishwa kupewa "coverage" ndani ya vyombo vya habari vilivyofungwa mikono. Bado tunaiona "style" ya uongozi huu ikiwa ni "naïve" kwa kuilinganisha na awamu zilizotangulua.
 
Tume huru ipi ambayo unaitaka? USA au UK pamoja na Germany ndio wakikwambia unakubali, lakini sisi tukikwambia husikilizi. Kizazi potofu ambacho kinategemea kulishwa uji wa maziwa wakati wanaamka asubuhi bila kufanya kazi yoyote, kizazi kinachopendelea ushoga, kizazi kinachopendelea kuabudu wazungu, kizazi kisichojitambua.
 
Hiyo mbege imekulewesha? bora unywe togwa au utakimbila konyagi kama DJ Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…