Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Samia Mzanzibar, Mnataka nini tena? Vunjeni muungano acheni ulalamishi wa kike
 
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Mbona povu lawatoka timu za Simba na Yanga zikitolew mapema kwenye mashindano ya Mapinduzi? Au hao ni Wazanzibara!!!!!
 
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
2. Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
wewe ndio ulikuwa Morogoro juzi ?
 
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
2. Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Sasa badilisheni tu sheria,Marais wote sasa hv si wale wenye vichwa "bapa"sio machogo kama wa bara!!acheni kulalamika,mmepewa ajira bara,makatibu tawala,ma DC,ma RC,wakurugenzi,Dodoma mnajinunuia ardhi mnavyotaka bila shida,sasa kwanini mnalia Lia,mnataka tuwapakate?
 
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
2. Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Dawa ya Zanzibari ni sisi mama yao Tanganyika kuamua kukata kitovu siku moja uone majanga yatakayotokea. Tuanze na kuacha kufadhili bajeti ya Zanzibar, halafu umeme, gesi na megineyo yafuate.
 
Kule wake wanne halali kabisa, unaoa watoto shombe kabisa kazi yako kupiga round kupiga mzigo tuu, kuna pepo zaidi ya hiyo? ila raha uwe na pesa
 
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Ninyi wazenziberi watu wa shawarma ,urojo na zenziberi pizza hakuna kitu mnaweza kufanya kizazi cha watu wavivu mnaochagua kazi.
Hata mngeachiwa wenyewe hakuna kitu mngefanya kujitawala tu hamuwezi.
 
Back
Top Bottom