UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 314
Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk
1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo mbalimbali, maeneo hayo ni kama ifuatavyo; Mjimwema, Kibada, Kimbiji, nk. Nakuhakikishia Fundi ujenzi ukitembelea huko hulali njaa.
2. Mbezi, Huko Mbezi bhana nako hakupo nyuma kwenye masuala ya Ujenzi, kwahyo fursa ni zilezile kupaua, ujenzi wa boma, fundi Rangi, Umeme nk
3. Vikindu, (Pwani), ukitoka kipande cha Vikindu na kuendelea mpaka kibiti ujenzi unaofanywa ni mkubwa sanaa, so sanuka fundi ✍️✍️✍️