BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Salam wakuu,
Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana.
Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo mengine ya jijini dar yawe wilaya ya Kinondoni au Ubungo ambapo kwasasa viwanja vyake bei haizidi milioni 5 lakini kuna uwezekano maeneo hayo miaka ya baadae yakawa "keki". Karibu tubadilishane mawazo ndugu zangu