BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Kwahiyo unashauri kwenda kununua kibaha na bagamoyo? kama nimekupata vyema mkuuPwani na Dar zimeshikana.
Hata Mkuranga unapata kilichopimwa na serikali kupitia halmashauri.Kwahiyo unashauri kwenda kununua kibaha na bagamoyo? kama nimekupata vyema mkuu
Asante kwa ushauri mkuu, lakini nikiangalia ukanda ilipo mkuranga au kisarawe ukuaji wa thamani ya ardhi si mkubwa kama wilaya ya ubungo na kinondoni.Hata Mkuranga unapata kilichopimwa na serikali kupitia halmashauri.
Kibaha
Bagamoyo
Mkuranga
Kisarawe pote huko patakuwa sana
Hata 2015 Goba viwanja bei ilikua ya kawaidaAsante kwa ushauri mkuu, lakini nikiangalia ukanda ilipo mkuranga au kisarawe ukuaji wa thamani ya ardhi si mkubwa kama wilaya ya ubungo na kinondoni.
Mabwepande ambayo haijapangiliwa?Mabwepande inakuja kui piku mbweni na kijichi.
Ndio wanaipangilia.Mabwepande ambayo haijapangiliwa?
Na matapeli ni wengi kule sehemu nyingi ni mashamba ya watu binafsi au kampuni/shirikaMabwepande ambayo haijapangiliwa?
Sehemu nzuri ambazo ukizipa miaka mitano mbele zitakuwa hazishikiki ni hizo mbili nilizozi-bold hapo juu.Hata Mkuranga unapata kilichopimwa na serikali kupitia halmashauri.
Kibaha
Bagamoyo
Mkuranga
Kisarawe pote huko patakuwa sana
Mabwepande inakuja kui piku mbweni na kijichi.
Unapafahamu Msumi au Mbopo?Salam wakuu,
Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana.
Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo mengine ya jijini dar yawe wilaya ya Kinondoni au Ubungo ambapo kwasasa viwanja vyake bei haizidi milioni 5 lakini kuna uwezekano maeneo hayo miaka ya baadae yakawa "keki". Karibu tubadilishane mawazo ndugu zangu
Au asogee MsumiSehemu nzuri ambazo ukizipa miaka mitano mbele zitakuwa hazishikiki ni hizo mbili nilizozi-bold hapo juu.
Juzi 9th Dec nilikuwa home Mbezi Makabe jamaa yangu mmoja akanipigia kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Msakuzi hakina dalali metre 300 kutoka barabara kubwa ukubwa wake ni 20x14 jamaa anaanzia 30mill na maeneo hayo miaka 10 nyuma viwanja vilikuwa 4mill/7mill,uelekeo wa Chalinze ndiyo kuzuri ukibahatika kupata