Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Ni maeneo yapi yenye fursa kubwa zaidi ya kuwekeza kwa kijana wa miaka 18 hadi 25? Na ni kwa nini sehemu hizi zinachukuliwa kuwa bora kwa uwekezaji kwa vijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchimba madini...Kwa sababu kijana ananguvuNi maeneo yapi yenye fursa kubwa zaidi ya kuwekeza kwa kijana wa miaka 18 hadi 25? Na ni kwa nini sehemu hizi zinachukuliwa kuwa bora kwa uwekezaji kwa vijana?
Betting mwana, njoo nikupe odds, kesho ww n bilionea hapa TZNi maeneo yapi yenye fursa kubwa zaidi ya kuwekeza kwa kijana wa miaka 18 hadi 25? Na ni kwa nini sehemu hizi zinachukuliwa kuwa bora kwa uwekezaji kwa vijana?
well saidLabda hapa nichangie kidogo. Vijana wengi katika umri huu huwa hawana utambuzi wa kujitambua na hucheza sana na maisha. Wanapata fursa, lakini hawana uelewa wa kuzitumia. Huu ndio umri wa moto.
Kama unaweza, wekeza katika uhusiano wako na Mungu. Uhusiano huu utakupa nidhamu, ambayo ni muhimu sana kwa mafanikio.
Pili, kama unasoma, wekeza kwenye elimu yako. Soma kwa bidii. Elimu ni muhimu sana ikiwa uko katika nafasi ya kusoma.
Tatu, jifunze kuhifadhi pesa. Anza kuwa na tabia ya kuweka akiba; utajishukuru sana ukiwa na miaka 30. Usije ukachezea pesa zako zote kwa pombe na wanawake. Vijana wengi katika umri huu hawana majukumu na hutumia pesa nyingi kwenye klabu na burudani. Ni kawaida sana kutumia laki moja au mbili kwa usiku mmoja.
Kuhusu akiba, tafuta saccos yenye sifa nzuri, fuata taratibu za kujiunga, na lipa ada za uanachama ili uwe mwanachama. Hii ni nzuri sana kwa kijana. Riba za saccos ni ndogo sana na unaweza kukopa mara 2 au mara 3 ya mtaji wako. Hii inaweza kukusaidia baadaye kama unapenda biashara. Ukiweka akiba kwa kuendelea, hata 10% ya kipato chako inatosha. Kwa mfano, ukiingiza laki 5, weka akiba elfu 50. Uwe mwaminifu na hii, na kwa muda mrefu itakulipa sana.
Nne, anza kujifunza biashara kwa kufanya biashara. Kumbuka, utaanza biashara na nyingi zitakufa mwanzoni. Ni kama kujifunza kuendesha baiskeli; utaanguka mara nyingi mwanzoni, lakini ukishajua, ni nadra sana kuanguka tena. Anzisha biashara unayoipenda na pambana nayo. Ikifa, utapata somo ambalo litaingia akilini vizuri sana. Unajifunza kwa njia ngumu.
Si lazima biashara ife au zife, lakini ikitokea, ni kawaida sana. Biashara haihitaji waganga, usiende kwa waganga. Ukishazoea biashara, utafurahia mwenyewe.
Lima nyanya Masika, utauza kwa bei ya Juu sana. Kisha mtaji Nunua mashine ya kufulia nguo katege Vyuo vikuu.
Kama utaweza weka nguvu kwenye uzalishaji...Ni maeneo yapi yenye fursa kubwa zaidi ya kuwekeza kwa kijana wa miaka 18 hadi 25? Na ni kwa nini sehemu hizi zinachukuliwa kuwa bora kwa uwekezaji kwa vijana?
UmemalizaLabda hapa nichangie kidogo. Vijana wengi katika umri huu huwa hawana utambuzi wa kujitambua na hucheza sana na maisha. Wanapata fursa, lakini hawana uelewa wa kuzitumia. Huu ndio umri wa moto.
Kama unaweza, wekeza katika uhusiano wako na Mungu. Uhusiano huu utakupa nidhamu, ambayo ni muhimu sana kwa mafanikio.
Pili, kama unasoma, wekeza kwenye elimu yako. Soma kwa bidii. Elimu ni muhimu sana ikiwa uko katika nafasi ya kusoma.
Tatu, jifunze kuhifadhi pesa. Anza kuwa na tabia ya kuweka akiba; utajishukuru sana ukiwa na miaka 30. Usije ukachezea pesa zako zote kwa pombe na wanawake. Vijana wengi katika umri huu hawana majukumu na hutumia pesa nyingi kwenye klabu na burudani. Ni kawaida sana kutumia laki moja au mbili kwa usiku mmoja.
Kuhusu akiba, tafuta saccos yenye sifa nzuri, fuata taratibu za kujiunga, na lipa ada za uanachama ili uwe mwanachama. Hii ni nzuri sana kwa kijana. Riba za saccos ni ndogo sana na unaweza kukopa mara 2 au mara 3 ya mtaji wako. Hii inaweza kukusaidia baadaye kama unapenda biashara. Ukiweka akiba kwa kuendelea, hata 10% ya kipato chako inatosha. Kwa mfano, ukiingiza laki 5, weka akiba elfu 50. Uwe mwaminifu na hii, na kwa muda mrefu itakulipa sana.
Nne, anza kujifunza biashara kwa kufanya biashara. Kumbuka, utaanza biashara na nyingi zitakufa mwanzoni. Ni kama kujifunza kuendesha baiskeli; utaanguka mara nyingi mwanzoni, lakini ukishajua, ni nadra sana kuanguka tena. Anzisha biashara unayoipenda na pambana nayo. Ikifa, utapata somo ambalo litaingia akilini vizuri sana. Unajifunza kwa njia ngumu.
Si lazima biashara ife au zife, lakini ikitokea, ni kawaida sana. Biashara haihitaji waganga, usiende kwa waganga. Ukishazoea biashara, utafurahia mwenyewe.
Weni billioner tayariBetting mwana, njoo nikupe odds, kesho ww n bilionea hapa TZ
Nasikia mlio wa ndege inayoanguka ndio kitu kinaogopesha vijana Kwa sasa😂Aviator haitakuangusha kabisa, marubani si ni kweli wanduguu?
😍 NotedLabda hapa nichangie kidogo. Vijana wengi katika umri huu huwa hawana utambuzi wa kujitambua na hucheza sana na maisha. Wanapata fursa, lakini hawana uelewa wa kuzitumia. Huu ndio umri wa moto.
Kama unaweza, wekeza katika uhusiano wako na Mungu. Uhusiano huu utakupa nidhamu, ambayo ni muhimu sana kwa mafanikio.
Pili, kama unasoma, wekeza kwenye elimu yako. Soma kwa bidii. Elimu ni muhimu sana ikiwa uko katika nafasi ya kusoma.
Tatu, jifunze kuhifadhi pesa. Anza kuwa na tabia ya kuweka akiba; utajishukuru sana ukiwa na miaka 30. Usije ukachezea pesa zako zote kwa pombe na wanawake. Vijana wengi katika umri huu hawana majukumu na hutumia pesa nyingi kwenye klabu na burudani. Ni kawaida sana kutumia laki moja au mbili kwa usiku mmoja.
Kuhusu akiba, tafuta saccos yenye sifa nzuri, fuata taratibu za kujiunga, na lipa ada za uanachama ili uwe mwanachama. Hii ni nzuri sana kwa kijana. Riba za saccos ni ndogo sana na unaweza kukopa mara 2 au mara 3 ya mtaji wako. Hii inaweza kukusaidia baadaye kama unapenda biashara. Ukiweka akiba kwa kuendelea, hata 10% ya kipato chako inatosha. Kwa mfano, ukiingiza laki 5, weka akiba elfu 50. Uwe mwaminifu na hii, na kwa muda mrefu itakulipa sana.
Nne, anza kujifunza biashara kwa kufanya biashara. Kumbuka, utaanza biashara na nyingi zitakufa mwanzoni. Ni kama kujifunza kuendesha baiskeli; utaanguka mara nyingi mwanzoni, lakini ukishajua, ni nadra sana kuanguka tena. Anzisha biashara unayoipenda na pambana nayo. Ikifa, utapata somo ambalo litaingia akilini vizuri sana. Unajifunza kwa njia ngumu.
Si lazima biashara ife au zife, lakini ikitokea, ni kawaida sana. Biashara haihitaji waganga, usiende kwa waganga. Ukishazoea biashara, utafurahia mwenyewe.
Kwani amesema billionaire pekee ndo atoe ushauri? au masikini haruhusiwi kushauri? Acha shobo.Weni billioner tayari